Range Rover luxurious zaidi duniani lazinduliwa Marekani

Range Rover luxurious zaidi duniani lazinduliwa Marekani

hii mbona wabongo wanayo huyu kachelewa kujua ndio anapost leo

Mkuu hii imezinduliwa Marekani Machi 31, 2015, Mbongo gani anayo? Hebu weka tumuone huyo Mbongo! Halafu soma na hayo maelezo yake kwa umakini ndo utaelewa vizuri!
 
Dah! Ipo day nitapiga nayo ata picha tu, sio lazima nimiliki maana uwezo wa wa corolla
 
duh gia kwa buttons..hatare sana.....ni paareeefu mno kwa mtu kama mie...ila inshallah tutaisbiria ikishafika kule sbtjapan labda tutaivuta...ila sasa cjui ndo kutakua na kulipa uchakavu
 
Hili gari ni toleo bora kabisa kwa waingereza ingawa wamekolezea na ubunifu kutoka kampuni nyingine.

Big up.
 
Range Rover Autobiography ni kali mbaya na bei zake cyo juu sana kiasi kwamba cyo macelebrities tuu watamudu kumiliki. Hili kuna watu hapa bongo watavuta within two to three months
 
Mkuu hii imezinduliwa Marekani Machi 31, 2015, Mbongo gani anayo? Hebu weka tumuone huyo Mbongo! Halafu soma na hayo maelezo yake kwa umakini ndo utaelewa vizuri!

kuna mwenzie huko nyuma kasema sijui papaa gani anayo nikanyamaza tu wala sikutaka kupoteza muda. kaangalia shape hio hapo chini akajua zote ndio zile zile.....kumbe ndani na ndani ya bonnet ni dunia mbili tofauti!!! ya kawaida inaanzia GBP 70,000 hivi hii inaanzia GBP 155,000 its not your normal AUTOBIOGRAPHY[ambazo still sidhani kama bongo zipo] hii ni SVAUTOBIOGRAPHY RR!!!

attachment.php
 
nasikia mnikulu wa ikulu kaagiza moja ha ha ha ha haha mshenzi ana nyodo yule
 
Niliiona hapa S.Africa inayoendana na hiyo,but hii sikumbuki ulikua sport au vogue,ilikua na seat 7.Ikikua ikiuuzwa kwenye duka moja maeneo Sondton R1,930,000,around 320m!!!
Na ni made in S.Africa!!
Ngoja ntaendapo kesho nikaichunguze kisha niweke picha hapa!!
 
kuna mwenzie huko nyuma kasema sijui papaa gani anayo nikanyamaza tu wala sikutaka kupoteza muda. kaangalia shape hio hapo chini akajua zote ndio zile zile.....kumbe ndani na ndani ya bonnet ni dunia mbili tofauti!!! ya kawaida inaanzia GBP 70,000 hivi hii inaanzia GBP 155,000 its not your normal AUTOBIOGRAPHY[ambazo still sidhani kama bongo zipo] hii ni SVAUTOBIOGRAPHY RR!!!

attachment.php

Sure mkuu,niliiona the same S.Africa,hapa South watu wanazo nyingi tuu hapa J'berg!!!
 
Ngoja ni mstue mbunge wetu atu letee moja tuoshee macho.
Maana ni pesa ya scania andare 2 tuu.
 
Ngoja ni mstue mbunge wetu atu letee moja tuoshee macho.
Maana ni pesa ya scania andare 2 tuu una ipata mpaka kuanza kuitumia hiya RR.
 
Back
Top Bottom