Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Wengine tutaishia tu kuziona kwenye picha
Pata picha hapo RR limepajki beach kushoto kuna miss chagga mnasikiliza sauti za mawimbi tu!! Maisha haya usishangae watu kuwa mafisadi au punda!
Wacha kukalia uchumi wewee...utumie tafadhar
Pata picha hapo RR limepajki beach kushoto kuna miss chagga mnasikiliza sauti za mawimbi tu!! Maisha haya usishangae watu kuwa mafisadi au punda!
RRONDO nipo tayar
...... prondo kazi ni kwako....vunja benki mwana..
mwambie nitampa kila kitu ila mimi nitapewa zamu ya kuendesha
Ingia hapo jione maelezo yote na picha za kumwaga
Range Rover's most luxurious 4x4 EVER set to go on sale - complete with tailgate chairs, deep-pile carpet, 150mph top speed ... and a £150,000 price tag | Daily Mail Online
Wengine tutaishia tu kuziona kwenye picha
Kila kitu...😱:
Wengine tutaishia tu kuziona kwenye picha
Na mimi nitanunua....😀
Mambo taratibu taratibu unaweza kuanza na mlango baada ya siku kadhaa k indicator,itakamilika tu
Yaan nilikua naandika hivi hiviii kwanini umeniwahi mfyuuuu
Mwache msukuma uje kwangu nitakununulia.
Yaan nilikua naandika hivi hiviii kwanini umeniwahi mfyuuuu
Nilijua tu kwakuniigiliza haujambo.Mambo vp mke ya msukuma?mbona tena haukuniambia yule mtu?