Range Rover luxurious zaidi duniani lazinduliwa Marekani

Wacha niongee na joka la makengeza tufanye mambo hapo tuushangaze ulimwengu hahahahah
 
Halafu kuna watu watakuja hapa kufananisha hii kitu na sijui kilimo kwanza sijui machuma gani huko! RR is saloon RR!

Cc: Bulldog

Nashangaa watu wanaoifananisha RR na baby walker nyingine kama kilimo kwanza. Performance wise RR is a monster, comfotability never to mention.
Hii gari inanunulika tu, bei yake sio mbaya kabisa. Sema shida itakuja kwenye service na spare parts cause itahitaji kuagiza nje hadi zifike utapita muda.
Ila its worthy dreaming for. Next four years Mungu akisaidia ntakuwa na autobiography yangu.
 
Last edited by a moderator:

All the best brother! Mi hata nikipata Entry SDV6 miaka kumi ijayo nitashukuru....new one of course!
 
Wataendesha wakina riz1 bhana ila wakati ukifika tutauza na kurudisha pesa za wananchi taka wasitake!!
 
Back
Top Bottom