Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Mtoto wa Kihaya Papa Mzamili Katunzi kainunua juzi hii.
Aisee noma kumbe
Mtoto wa Kihaya Papa Mzamili Katunzi kainunua juzi hii.
Hivi joka la makengeza kwa bei hii linaweza kuchukua hata nne kwa mpigo, nadhani na Kiongozi mkuu mjamaa ayatollah anaweza kuibuka na mojawapo bila shaka.
proNDO day dream?Duh 411m kununua tu! Kodi around 250m hivi total kama 600m! Insurance @3% ni 18m kwa mwaka! Kila mwaka unatupa ki Mark X na change ya bia kibao!!!
My mentor,
Harvard alumni,
Ronaldinho wa siasa za Bongo!!
Mzee wa dili za bilioni bilioni!!
Andrew mtemi chenge
Nashangaa watu wanaoifananisha RR na baby walker nyingine kama kilimo kwanza. Performance wise RR is a monster, comfotability never to mention.
Hii gari inanunulika tu, bei yake sio mbaya kabisa. Sema shida itakuja kwenye service na spare parts cause itahitaji kuagiza nje hadi zifike utapita muda.
Ila its worthy dreaming for. Next four years Mungu akisaidia ntakuwa na autobiography yangu.
Hivi joka la makengeza kwa bei hii linaweza kuchukua hata nne kwa mpigo, nadhani na Kiongozi mkuu mjamaa ayatollah anaweza kuibuka na mojawapo bila shaka.
Za Kichina/Kihindi za milioni nane zitatua bongo muda si mrefuMuda si mrefu wabongo watazileta bongo
proNDO day dream?
Kwani wewe ni mgeni hapa bongo??
Hiyo unaweza import kama chuma chakavu na ukalipa tsh. 5million only.
Au msamaha wa kodi kwa mwekezaji....
ONYO: ukiipata kwa mazabe hakikisha usimwite mtu "mpuuzi wewee, sijui umekula maharage wewee, unawayawaya wewee, ni nani aliyekurogaaa" maana watakuuliza uliipataje na kama ulilipa kodi zote?
Hivi joka la makengeza kwa bei hii linaweza kuchukua hata nne kwa mpigo, nadhani na Kiongozi mkuu mjamaa ayatollah anaweza kuibuka na mojawapo bila shaka.
Hamna kirungu cha gear hapo! Unaweza kukesha kujiuliza gear iko wapi?!