Ramsey anawatia hofu mastaa ulimwenguni

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Eti kuna ukweli wa hili jambo kuwa kila huyu star wa Club ya Arsenal Ramsey anapofunga tu,lazima utasikia mtu maarufu anakufa.
Kuna ukweli wa hili jambo?.
 
Osama, Steve Jobs & Gadaffi all died a day after Ramsey had scored for Arsenal. Today, Whitney is dead. Ramsey scored yesterday!
 
Hebu leta mifano kama mitatu hivi ili kuthibitisha kauli yako.
Hebu mwaga ushahidi wa mifano yaweza kuwa kweli aiseee?
 
kila siku iendayo kwa mungu kuna mtu maarufu anakufahata kama goli halifungwi
 
Osama, Steve Jobs & Gadaffi all died a day after Ramsey had scored for Arsenal. Today, Whitney is dead. Ramsey scored yesterday!

Bora umenisaidia kuleta takwimu hzo mkuu thank you.
 
Haya bana, sijui tufanyeje afunge goli Kikwete afe! au maarufu hao ni ngazi ya akina Osama??

Mh! Labda afunge kwenye mashindano makubwa kama Euro au World Cup.
Kwa maana muungwana ni level za juu zaidi ya hao watu maarufu.
 



Ramsey scored vs Manchester United - Bin Laden died

Ramsey scored vs Tottenham - Steve Jobs died

Ramsey scored vs Marseille - Gaddafi died

Ramsey scored vs Sunderland - Whitney Houston died

Thank God he dosent have Robin Van Persie's skills.

Just heard again that when Ramsey broke his leg, an 8.8 magnitude earthquake hit Chile.


Only God knows what will happen if he decides to stop football.

 
Back
Top Bottom