Ramani ya nyumba za kupangisha

Ramani ya nyumba za kupangisha

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
604
Reaction score
1,236
Ramani ya kupangisha
Wapangaji wawili kila mpangaji anavitu vifuatavyo
Chumba 1 self
Chumba 1 havina choo
Seble
Jiko
Choo cha wageni
Nyumba nzima kwa wapangaji wote Inachukua mita 8 kwa mita 12 (jengo zima)
Vyumba vyake ukubwa ni standards
Hata kama unakiwanja kidogo unawezakuweka uwekezaji huu nichek whatsapp 0743 257 669
Au nichek whatsapp wa.me//255743257669
Njoo nikupe kiramani kwa ghalama naafuu
FB_IMG_1745389824865.jpg
FB_IMG_1745389832992.jpg
FB_IMG_1745389828064.jpg
wa.me//255743257669
 
Ramani ya kupangisha
Wapangaji wawili kila mpangaji anavitu vifuatavyo
Chumba 1 self
Chumba 1 havina choo
Seble
Jiko
Choo cha wageni
Nyumba nzima kwa wapangaji wote Inachukua mita 8 kwa mita 12 (jengo zima)
Vyumba vyake ukubwa ni standards
Hata kama unakiwanja kidogo unawezakuweka uwekezaji huu nichek whatsapp 0743 257 669
Au nichek whatsapp wa.me//255743257669
Njoo nikupe kiramani kwa ghalama naafuuView attachment 3312803View attachment 3312799View attachment 3312801wa.me//255743257669
Sebule sio seble.
 
Muhasibu inamaana haukumpata fundi sahihi mpaka ivuje?
Acha tu ndugu yangu. Yameshafanyika makosa, kwanza hata muonekano tu ni mbaya maana nyumba ni kubwa 2 in 1 kama hii.
Nilikuwa misled kupunguza gharama matokeo yake ndio haya. Halafu yule fundi alivyo msenge tumetumia ALAF gauge 30 migongo mipana.
 
Back
Top Bottom