Hamna hata kimojaKuna vifo vingapi wamesababisha na bado wanaachiwa?
Hakuwa na lolote kipya yule zaidi ya kelele tu. Kujinasibu kote kupambana na ufisadi hajabadilisha hata sheria yenyewe ya kupambana na RUSHWA. Afu kuna wapuuzi wanamwita shujaa wa AFRICA ????Wahanga wa Mwendazake wote wanaachiwa. Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo. Mwendazake pamoja na kujidai mpanga ufisadi na mafisadi miaka yote 6 hakufanikiwa kufunga mtu yeyote kwa ufisadi ingawa alifanikiwa sana kuwa funga wapinzani..... Hapo ndipo utaona ni jinsi gani alikuwa anatuchezea akili.
Leo Alhamisi Februari 24,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi.
Soma=> Madabida na wenzake watano wafutiwa mashtaka ya kusambaza ARV feki, wakamatwa tena
Pia, soma=> Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali
============
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi.
Madabida ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Ltd cha Dar es Salaam (TPI) na wenzake walikuwa wanakabiliwa na mashtaka matano likiwemo ya kusambaza makopo 7,776 ya dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi (ARV) aina ya Antiretroviral, wakijaribu kuonyesha kuwa dawa hizo zilikuwa halali na zimetengenezwa nchini.
Uamuzi huo wa kuwaachia huru umetolewa leo Alhamisi Februari 24, 2022 na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipoitwa mahakamani hapo kwa ajili ya uamuzi kama washtakiwa wanakesi ya kujibu au laa.
Soma zaidi:Madabida wenzake waenda mahabusu
Mbali na Madabida, washtakiwa wengine ni Mkurugenzi wa Operesheni wa TPI, Seif Shamte, Meneja Masoko, Simon Msofe, Mhasibu Msaidizi, Fatma Shango pamoja na wafanyakazi wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Sadick Materu na Evans Mwemezi.
Hakimu Shaidi amesema upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 13 na vielelezo zaidi ya 10, lakini umeshindwa kudhibitisha mashtaka dhidi ya washtaka wote, hivyo amewaachia huru washtakiwa wote.
Unaweza kuthibitisha au ndio masalia ya mwendazake?Kuna vifo vingapi wamesababisha na bado wanaachiwa?
Pale tulipigwa mkuu. Kelele nyingi zilikua na lengo la kuficha udhaifa. Aliposhindwa kuuficha akatumia mitutu.Wahanga wa Mwendazake wote wanaachiwa. Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo. Mwendazake pamoja na kujidai mpanga ufisadi na mafisadi miaka yote 6 hakufanikiwa kufunga mtu yeyote kwa ufisadi ingawa alifanikiwa sana kuwa funga wapinzani..... Hapo ndipo utaona ni jinsi gani alikuwa anatuchezea akili.
Mwendazake ni kitu gani?Unaweza kuthibitisha au ndio masalia ya mwendazake?
Muuaji wa kusambaza dawa feki anaachwa huru huku mwenyekiti mbowe asiye na hatia anasoteshwa gerezani, ssh ana msukumo wa Udini katika maamuzi yake? TutafakariLeo Alhamisi Februari 24,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi.
Soma=> Madabida na wenzake watano wafutiwa mashtaka ya kusambaza ARV feki, wakamatwa tena
Pia, soma=> Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali
============
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi.
Madabida ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Ltd cha Dar es Salaam (TPI) na wenzake walikuwa wanakabiliwa na mashtaka matano likiwemo ya kusambaza makopo 7,776 ya dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi (ARV) aina ya Antiretroviral, wakijaribu kuonyesha kuwa dawa hizo zilikuwa halali na zimetengenezwa nchini.
Uamuzi huo wa kuwaachia huru umetolewa leo Alhamisi Februari 24, 2022 na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipoitwa mahakamani hapo kwa ajili ya uamuzi kama washtakiwa wanakesi ya kujibu au laa.
Soma zaidi:Madabida wenzake waenda mahabusu
Mbali na Madabida, washtakiwa wengine ni Mkurugenzi wa Operesheni wa TPI, Seif Shamte, Meneja Masoko, Simon Msofe, Mhasibu Msaidizi, Fatma Shango pamoja na wafanyakazi wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Sadick Materu na Evans Mwemezi.
Hakimu Shaidi amesema upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 13 na vielelezo zaidi ya 10, lakini umeshindwa kudhibitisha mashtaka dhidi ya washtaka wote, hivyo amewaachia huru washtakiwa wote.
Aliishia kumuadhibu aliyekua kamishna wa TRA na mzee wa VIP Engineering na singasinga wake kwa kosa la kuwa matajiri.Wahanga wa Mwendazake wote wanaachiwa. Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo. Mwendazake pamoja na kujidai mpanga ufisadi na mafisadi miaka yote 6 hakufanikiwa kufunga mtu yeyote kwa ufisadi ingawa alifanikiwa sana kuwa funga wapinzani..... Hapo ndipo utaona ni jinsi gani alikuwa anatuchezea akili.
Hii kesi ni ya JK era.Wahanga wa Mwendazake wote wanaachiwa. Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo. Mwendazake pamoja na kujidai mpanga ufisadi na mafisadi miaka yote 6 hakufanikiwa kufunga mtu yeyote kwa ufisadi ingawa alifanikiwa sana kuwa funga wapinzani..... Hapo ndipo utaona ni jinsi gani alikuwa anatuchezea akili.
Ni Mzilankende Mnyago Akiwa Kayanga KaragweMwendazake ni kitu gani?
Hongera Madabida…hongera sana Zarina
Ilipaswa isomeke imemuachia huru Mfanyabiashara maarufu…
Nu sawa na ku report aliekuwa Mmiliki wa Ukumbi wa Muziki wa Katikati ya jiji wa Bilicanus afikiswa Mahakamani kwa tuhuma za ugaidi
Vua vimiwani vyako uone vizuri.
Kwahiyo wana haki kuishtaki serikali kwa kuwasingiziaMadabida ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Ltd cha Dar es Salaam (TPI) na wenzake walikuwa wanakabiliwa na mashtaka matano likiwemo ya kusambaza makopo 7,776 ya dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi (ARV) aina ya Antiretroviral, wakijaribu kuonyesha kuwa dawa hizo zilikuwa halali na zimetengenezwa nchini.