Nichukue fursa ya Sredi hii kuwatakia kheri kwa members wote walioko swaumuni.
Aidha nitoe ofa kwa wale watakaokua na mkwazo wa futari & daku , wanipm tuone ni vipi tutatatua tatizo lao.
Kila la kheri.

My Shem wa kudumu charminglady unakaribishwa with two hands! Na nishkuru kwa kunizawadia postcard.
masha Allah...