Amma kwa hakika huu ni mwezi mtukufu, Spika wa bunge la Tanzania amekiri kuwa Ramadhan imechangia kuleta ushirikiano na kuzidisha amani na utulivu bungeni.
Ni uhakika kuwa Ramadhan imetowa darsa kwa walio na wasio Waislaam na tuendeleze hali hiyo nje na ndani ya Ramadhan.
Ramadhan Kareem na Eid Mubarak.
Hivi Bunge la Tanzania lina spika au mfano wa spika ?... Anasema vile sababu hapati msukosuko..ktk ramazani he hee.. bibi sipika