Hakuna Mungu, acheni kupoteza muda wenu, chapeni kazi, muda wako ukifika unarudisha protons, electrons na neutrons ardhini, mwingine anazichukua na kuzitumia huko mbeleni. Hii mambo mnayoamini ni full stupidityAlitubu(aliomba msamaha kwa Mungu),Mungu ameshasema anasamehe,kwa yoyote atakayemuomba msamaha.
Sijamsikia akiomba msamaha kwa Mungu, ila kumbuka kama huyo shehe ndie angepewa Switch ya kutoa Roho za Watu angekuwa hashauriki hatma Afande sele ingekuwa ni Kaburi jeusi.Hata Sheikh Kishki aliomba Kwa Mungu msamaha kama kumuombea Kifo afande Sele alikosea...
Kishki ali react with emotions..
Ndo maana akatanguliza na kumuomba msamaha mwenyezi Mungu
Niseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.
Kisa cha Afande Sele kumuhoji Mungu baada ya kifo cha JPM kinajulikana. Pia, yupo sheikh mmoja maarufu, Kishki alisoma dua kuwa afande afariki kabla ya kuanza mfungo Ramadhani. Lakini hadi sasa hajafa.
Hii tafsiri yake nini?
Dua ya kishki ni batili? Mungu hajaipokea? Au Mungu hatendi mambo tumfikiriavyo sisi wanadamu?
Ni ramadan ya mwakani. Sio hii.Niseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.
Kisa cha Afande Sele kumuhoji Mungu baada ya kifo cha JPM kinajulikana. Pia, yupo sheikh mmoja maarufu, Kishki alisoma dua kuwa afande afariki kabla ya kuanza mfungo Ramadhani. Lakini hadi sasa hajafa.
Hii tafsiri yake nini?
Dua ya kishki ni batili? Mungu hajaipokea? Au Mungu hatendi mambo tumfikiriavyo sisi wanadamu?
Mimi mweyewe ni muislam, ila dua mbaya zingekua zinafanya kazi, maduwa mabaya yanayo ombewa WAESRAIL na sisi waislamu duniani kote, taifa la Esrail lingekua limepuputikaNiseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.
Kisa cha Afande Sele kumuhoji Mungu baada ya kifo cha JPM kinajulikana. Pia, yupo sheikh mmoja maarufu, Kishki alisoma dua kuwa afande afariki kabla ya kuanza mfungo Ramadhani. Lakini hadi sasa hajafa.
Hii tafsiri yake nini?
Dua ya kishki ni batili? Mungu hajaipokea? Au Mungu hatendi mambo tumfikiriavyo sisi wanadamu?
Dua la kuku halimpati mwewe..Niseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.
Kisa cha Afande Sele kumuhoji Mungu baada ya kifo cha JPM kinajulikana. Pia, yupo sheikh mmoja maarufu, Kishki alisoma dua kuwa afande afariki kabla ya kuanza mfungo Ramadhani. Lakini hadi sasa hajafa.
Hii tafsiri yake nini?
Dua ya kishki ni batili? Mungu hajaipokea? Au Mungu hatendi mambo tumfikiriavyo sisi wanadamu?
Unajaribu kujenga picha gani mkuuView attachment 1752930
Halafu msikilize Afande Sele akilia Kizezeta, baada ya kunogewa na Propaganda za ccm.
Shikamoo babuhuyu dogo nimemfahamu tangu zamani sana na NGO yake ya kutoa misaada fulani hivi, hadi baadaye akawa shehe baada ya kuwa anatoa mihadhara mingi kwenye tv na misikitini. he is too extremist, hapo sasa kaaibika mwenyewe. Mungu sio katili kama yeye.