Ramadhan imefika, Afande Sele hajafa

Hata Sheikh Kishki aliomba Kwa Mungu msamaha kama kumuombea Kifo afande Sele alikosea...
Kishki ali react with emotions..
Ndo maana akatanguliza na kumuomba msamaha mwenyezi Mungu
 
Alitubu(aliomba msamaha kwa Mungu),Mungu ameshasema anasamehe,kwa yoyote atakayemuomba msamaha.
Hakuna Mungu, acheni kupoteza muda wenu, chapeni kazi, muda wako ukifika unarudisha protons, electrons na neutrons ardhini, mwingine anazichukua na kuzitumia huko mbeleni. Hii mambo mnayoamini ni full stupidity
 
Hata Sheikh Kishki aliomba Kwa Mungu msamaha kama kumuombea Kifo afande Sele alikosea...
Kishki ali react with emotions..
Ndo maana akatanguliza na kumuomba msamaha mwenyezi Mungu
Sijamsikia akiomba msamaha kwa Mungu, ila kumbuka kama huyo shehe ndie angepewa Switch ya kutoa Roho za Watu angekuwa hashauriki hatma Afande sele ingekuwa ni Kaburi jeusi.
 
Niseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.

Kisa cha Afande Sele kumuhoji Mungu baada ya kifo cha JPM kinajulikana. Pia, yupo sheikh mmoja maarufu, Kishki alisoma dua kuwa afande afariki kabla ya kuanza mfungo Ramadhani. Lakini hadi sasa hajafa.

Hii tafsiri yake nini?
Dua ya kishki ni batili? Mungu hajaipokea? Au Mungu hatendi mambo tumfikiriavyo sisi wanadamu?

Kwa mfano hata ingetokea afande akafa, je, ungesema ni Mungu kamuua kwasababu ya yale maneno aliyosema?

Mbona tangu afande asomewe ile dua mpaka leo, kuna maelfu ya watu wameshakufa, ambao wao wala hawajawahi kusema chochote wala hawajasomewa dua, mfano juzi tu kuna watu 10 wamekufa kwenye ajali hapo same, je hao unawazungumziaje?
 
Ukiwafuata hawa wafia dini unakuwa unapoteza muda,wao wanaamini mtu mkosasaji adhabu impasayo ni kifo,ili khali wote tutakufa,pili hawa watu wana kariba ya kujihesabia khaki kwa imani zao,
 
huyu dogo nimemfahamu tangu zamani sana na NGO yake ya kutoa misaada fulani hivi, hadi baadaye akawa shehe baada ya kuwa anatoa mihadhara mingi kwenye tv na misikitini. he is too extremist, hapo sasa kaaibika mwenyewe. Mungu sio katili kama yeye.
 
Dua haina Shehe wala Kilemba,angalia Dua ya Lema Godbless ilivyojibiwa.
 
Niseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.

Kisa cha Afande Sele kumuhoji Mungu baada ya kifo cha JPM kinajulikana. Pia, yupo sheikh mmoja maarufu, Kishki alisoma dua kuwa afande afariki kabla ya kuanza mfungo Ramadhani. Lakini hadi sasa hajafa.

Hii tafsiri yake nini?
Dua ya kishki ni batili? Mungu hajaipokea? Au Mungu hatendi mambo tumfikiriavyo sisi wanadamu?
Ni ramadan ya mwakani. Sio hii.
 
Mimi mweyewe ni muislam, ila dua mbaya zingekua zinafanya kazi, maduwa mabaya yanayo ombewa WAESRAIL na sisi waislamu duniani kote, taifa la Esrail lingekua limepuputika
 
Roho za watu zingekua zinatoka kimasihara kama ustadh alivyosema basi tungekua tumeisha duniani
Hawa viongozi wa dini saa nyingine sijui ni masihara au upeo wa kufikiri ni mdogo
Huwezi kusikia pengo akitoa kauli kama hizi
 
Niseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.

Kisa cha Afande Sele kumuhoji Mungu baada ya kifo cha JPM kinajulikana. Pia, yupo sheikh mmoja maarufu, Kishki alisoma dua kuwa afande afariki kabla ya kuanza mfungo Ramadhani. Lakini hadi sasa hajafa.

Hii tafsiri yake nini?
Dua ya kishki ni batili? Mungu hajaipokea? Au Mungu hatendi mambo tumfikiriavyo sisi wanadamu?
Dua la kuku halimpati mwewe..
 
Yani sheikh amenifata nisiogope kabisa albadir zao zile maana zilikuwa wanakutisha kweli. Siogopi tena.
 
huyu dogo nimemfahamu tangu zamani sana na NGO yake ya kutoa misaada fulani hivi, hadi baadaye akawa shehe baada ya kuwa anatoa mihadhara mingi kwenye tv na misikitini. he is too extremist, hapo sasa kaaibika mwenyewe. Mungu sio katili kama yeye.
Shikamoo babu

Wewe ni great-grandparent
 
Back
Top Bottom