Ramadhan Bukini ateuliwa Mkurugenzi Mkuu ZBC

Ramadhan Bukini ateuliwa Mkurugenzi Mkuu ZBC

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein mwinyi amemteua Ramadhan Bukini kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).

Taarifa iliyotolewa leo Aprili 25, 2023 na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Ikulu ya Zanzibar, Zena Ahmed Said imeeleza kuwa uteuzi huo umeanza leo.

Aidha, kabla ya uteuzi huo Ramadhan Bukini alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Plus Networks Ltd.
 
"Kichwa "aliyepitia Mzumbe University.....

Mzalendo na mtulivu haswaa....

Mh.Rais Mwinyi ana MAONO kwa kweli[emoji123]

Kila la heri kwake kamarada Bukini [emoji120]

#SiempreJMT[emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom