rodney jr.
Senior Member
- Feb 12, 2014
- 139
- 73
Salama wakuu. Mimi ni mdau mzuri wa jukwaa hili, kwani najifunza mambo mengi. Leo nina jambo linalohusiana na ram za simu. Mfano mimi natumia S duos 7562, lakini siku hizi za karibuni imekuwa slow, na sina application nyingi. Sasa naomba mnijuze wakuu, je ni uwezo wa Ram kuwa mdogo au nini chanzo? Na kama ni hivyo ni application gani inaweza kunifaa kuniondolea tatizo. Nawasilisha.