Binti Maria
Senior Member
- Jun 26, 2007
- 158
- 33
Ni mbunge wa wapi?
Kama si mbunge, ina maana katiba yetu ilishafanyiwa marekebisho waziri kutokuwa mbunge? Au ni mmojawapo wa wale 10 wa kuteuliwa na Rais? Ni swali tu maana sina kumbukumbu kama katiba ilishafanyiwa marekebisho hayo.
Kama tetesi zinazotembea taratibu zina ukweli utakuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta matumaini katika wizara hii nyeti.. kwanza kwa sababu amejithibitisha kuwa ana uwezo, ni jasiri, na yuko tayari kuchukua maamuzi magumu. Pingamizi kubwa ni kutoka kona fulani fulani ambazo zinaona kuwa Bw. RR amekuwa anti-govt or anti-CCM. Watetezi wake wanadokeza kuwa kama mambo anayosema (kupitia taasisi zake) yana ukweli na ana mawazo ya kuboresha elimu.. give it to him...
BIO YA RAKESH KWA UFUPI
Kwangu mimi.. namuunga mkono na miguu!!!
What do you think?
I would like to challenge your thinking kaka on two fronts. 1) When you say that for our President, he disqualify people who are able to deliver--you are being overly mshabiki. I think Kikwete love this country, despite of his incompetence, and it is a lie kwamba they guy, purposely choose folks who are incompeteny. But again he put Mustapha Mkullo on finance, which does not make sense. 2) Change of speakership was necessary, Sitta is an id!0t who pursued Richmond for his own umaarufu and not kwa maslahi ya taifa. He used speakership as a tool to punish his political enemies and advance his personal agenda, folks like him do not deserve the speakership.
I would also like to add that CCM wanasoma nyakati na upepo wa siasa. You will all be pleasantly surprised by their performance in the next 5 years. In a way, we needed DR. SLaa to provide changamoto, and he did just that. So do not be surprised when the cabinet will be shrunk, folks like Rakesh taking over Elimu and given mandate to transform the ministry. More than ever CCM want to show folks what they are capable of.
Mnakumbuka shuka wakati ndo kumekucha??? CCM perfoming? Yes, We wadanganyika will be more than happy to see Kigoma becoming Dubai, 400 Bajajis, Fly over in all big cities, Titanic connecting BKB and Mwanza, Pantoni kila penye mto... and the list goes on.. amounting to 90 ?? in five years!
Go go.. wachakachuaji we are watching you closely, five years is not far.. come again with you blah blah.. kasi zaidi of ufisadi lol!
Hapo ni swali na kuku na yai; unaanza kwanza kuwa na uongozi bora utakaohakikisha uozo hauendekezwi kisha ndio unasimika viongozi bora - au umesahau methali ya Kiswahili isemayo samaki mmoja akioza...?
Kwa sasa hivi si Mbunge lakini wakitaka kumpa uwaziri itabidi wampe Ubunge kwanza.. uzuri wake once wakimpa Ubunge hata wakimuondoa Uwaziri hawezi kuachilia Ubunge hadi miaka yake mitano iishe!
hivi mnamkumbuka margreth sitta kabla hajawa waziri? mnamkumbuka augustino mrema alipokuwa waziri? i support the proposal but he is disqualified for ccm and the current government. they are disinterested in quality. let us keep him for the next government, chadema's.
Kwangu mimi.. namuunga mkono na miguu!!!
What do you think?
Nilipenda sana misimamo yake alipopuwa hakielimu. Ila hata Mama Sita naye alikuwa almost kama RR kabla, lakini alipopewa wizara ... (malizieni)
Hitimisho: mfumo mzima una matatizo na unahitaji kurekebishwa haraka. Je mfumo huo utaweza kurekebishwa na mtu kama RR au Waziri yeyote wa Elimu (Kumbuka kuwa Uwaziri hausomewi so hata Prof Maji Marefu anaweza kuwa Waziri wa Elimu).
Kwa mawazo yangu, anahitajika Mtaalam wa mambo ya elimu kusimamia urekebishwaji wa mfumo mzima wa Elima hapa Tanzania.
Siku Kitila Mkumbo atakapokuwa Waziri wa Elimu!
Mzee wa sauti za umeme, hapa sijakuelewa bado..
Haya ndio matatizo ya ushabiki. U want a country to move forward, but you do not wish to see competent folks working for government--just because you hate CCM. Mshkaji, this kind of thinking won't take us anywhere!