Raisi Samia acha kulaumu watu kwa matitizo yako!!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi
1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu wako wa madaraka. Tatizo ni wewe sio Watanzania
2. EA community ikifa mikononi mwako ni wewe sio Watanzania. Watanzania wanataka chaguzi huru sasa hilo ni lini limekuwa jinai!!
3. Kukitokea vurugu ni wewe kwanini watu wanatekwa na Polisi na usalama wako hawafanyi lolote. Hizo ripoti unazoombaga za mauaji kwanini huweki wazi je ni nani unamlinda au ni wewe ndiye unawatuma.

Usituingize Watanzania wazalendo kwenye ubinafsi wako na familia yako na kufikiri watanzania wata kutetea kwenye mauaji, uonevu na rushwa. Wazalendo wanapiga picha Mikataba kwasababu ya ufisadi.

Ukipigana na rushwa na kuweka sheria za chaguzi za haki na uhuru haya yote yasinge tokea. Kuteka na kuuwa tangu 2017 wakati wa Magufuli haijasaidia lolote
 
acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.

Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.

ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao 🐒
 
Kuruka kwa kubaka na kufungia X mbona ni udhaifu mwingine tena sasa?
 
acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.

Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.

ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao 🐒

Hovyo kabisa.
Mara kwa mara nimekuwa nikisema kwamba:-

1. Ikiwa Watanzania tuliwasaidia watu wa ANC ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini.
2. Ikiwa Watanzania pia tuliwasaidia watu wa ZANU ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wazungu (Waingereza) kule nchini Zimbabwe.
3. Aidha, ikiwa Watanzania vile vile pia tuliwasaidia watu wa FRELIMO ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wareno kule nchini Msumbiji.

Je, ni kwa nini basi majirani zetu wa Kenya au Uganda nao wasiwe na Haki ya kuwasaidia Wananchi wa Tanzania ili waweze kuondokana na Utawala dhalimu na usiitenda Haki wa CCM hapa nchini sawa sawa kabisa na vile ambavyo waTanzania walifanya kwa majirani zao wa Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji?

Remember:
"Injustice somewhere is a threat of justice everywhere."
By Martin Luther King Jr.

HAKI haina mipaka, wala Haki haijali mipaka ya nchi.
 
acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.

Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.

ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao 🐒
Heed this, you’ll be glad you did—Siku utakapoweka mbele maslahi ya taifa, kale kaugonjwa ulikonako katapona jumla!
 
acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.

Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.

ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao 🐒

Magaidi ni watekaji, wauaji wa raia. Watanzania sio wajinga kujuwa nani magaidi. Tunajua watekaji ni wateule wa Mama kama Gwajima alivyosema
 
Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi
1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu wako wa madaraka. Tatizo ni wewe sio Watanzania
2. EA community ikifa mikononi mwako ni wewe sio Watanzania. Watanzania wanataka chaguzi huru sasa hilo ni lini limekuwa jinai!!
3. Kukitokea vurugu ni wewe kwanini watu wanatekwa na Polisi na usalama wako hawafanyi lolote. Hizo ripoti unazoombaga za mauaji kwanini huweki wazi je ni nani unamlinda au ni wewe ndiye unawatuma.

Usituingize Watanzania wazalendo kwenye ubinafsi wako na familia yako na kufikiri watanzania wata kutetea kwenye mauaji, uonevu na rushwa. Wazalendo wanapiga picha Mikataba kwasababu ya ufisadi.

Ukipigana na rushwa na kuweka sheria za chaguzi za haki na uhuru haya yote yasinge tokea. Kuteka na kuuwa tangu 2017 wakati wa Magufuli haijasaidia lolote
Huyu Mama akamatwe kwa kweli na alazimishwe aachie nchi, hafai hata kidogo. Akamatwe yeye, mwanaye Abdul, Steve Nyerere (inasadikika ni yeye ndiye anayempa Shetani Abdul majina ya watu wanaompinga Mama yake). Jeshi letu (JWTZ) mtimueni huyu Mama, hatufai kwa kweli, na kablaya hapo ataifishwe kila mali ya umma aliyoiba.
 
Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi
1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu wako wa madaraka. Tatizo ni wewe sio Watanzania
2. EA community ikifa mikononi mwako ni wewe sio Watanzania. Watanzania wanataka chaguzi huru sasa hilo ni lini limekuwa jinai!!
3. Kukitokea vurugu ni wewe kwanini watu wanatekwa na Polisi na usalama wako hawafanyi lolote. Hizo ripoti unazoombaga za mauaji kwanini huweki wazi je ni nani unamlinda au ni wewe ndiye unawatuma.

Usituingize Watanzania wazalendo kwenye ubinafsi wako na familia yako na kufikiri watanzania wata kutetea kwenye mauaji, uonevu na rushwa. Wazalendo wanapiga picha Mikataba kwasababu ya ufisadi.

Ukipigana na rushwa na kuweka sheria za chaguzi za haki na uhuru haya yote yasinge tokea. Kuteka na kuuwa tangu 2017 wakati wa Magufuli haijasaidia lolote
Huyu Mama kishakuwa janga sasa, alishaambiwa asijihusishe na Steve Nyerere kama msemaji wake mkuu na mshauri, amekataa na matokeo yake ndiyo haya sasa. Mama anachemka mpaka ananuka jasho na shombo.
 
acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.

Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.

ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao 🐒
Hata kama mnauwa watu muachwe tu,nyie kina nani?
 
Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi
1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu wako wa madaraka. Tatizo ni wewe sio Watanzania
2. EA community ikifa mikononi mwako ni wewe sio Watanzania. Watanzania wanataka chaguzi huru sasa hilo ni lini limekuwa jinai!!
3. Kukitokea vurugu ni wewe kwanini watu wanatekwa na Polisi na usalama wako hawafanyi lolote. Hizo ripoti unazoombaga za mauaji kwanini huweki wazi je ni nani unamlinda au ni wewe ndiye unawatuma.

Usituingize Watanzania wazalendo kwenye ubinafsi wako na familia yako na kufikiri watanzania wata kutetea kwenye mauaji, uonevu na rushwa. Wazalendo wanapiga picha Mikataba kwasababu ya ufisadi.

Ukipigana na rushwa na kuweka sheria za chaguzi za haki na uhuru haya yote yasinge tokea. Kuteka na kuuwa tangu 2017 wakati wa Magufuli haijasaidia lolote
Mama akamatwe na kufungwa, atuachie nchi yetu maana anaichafua mno.
 
Baada ya mauwaji ya Ali Mohamed Kibao, mheshimiwa rais aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze mauaji na apewe majibu haraka.
Lakini mpaka leo karibia mwaka mmoja tangu auawe.
Zaidi, wameuawa na kutekwa raia wengi zaidi.
Hii damu ya watu wasio na hatia, na machozi ya watu ya haki ipo siku CCM yetu na Rais watayalipa mbele za Mungu mkuu sana, mwenye kuumba vyote. Ambaye anawaona watu wake kuanzia ndani mpaka nje.
 
acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.

Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.

ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao 🐒
Huoni hata aibu kuandika huu ujinga wako wewe shetani
 
acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.

Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.

ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao 🐒
Hujui lolote mpuuzi wewe. Ni mara ngapi serikali yetu imeingilia mataifa mengine kwa kigezo cha kuwatetea wanyonge. Tumepereka mpaka majeshi, wasuluhishi na hata kuweka madarakani vibaraka wetu. Jujui lolote.

Kinachoombwa hapa ni mfumo huru wa watu kuchaguana. Na si hii ya kikundi kujiwekea mazingira ya kuwatawala wananchi bila ridhaa yao.

Hili la watu wa nje kuwatetea wanaoonewa hapo. Ni yale yale tulioyafanya Comoro, Seychelles, Mozambique, Zimbabwe, Uganda etc.
 
Kwahiyo jeshi lenyewe linafurahi kuona nchi inapoteza mwelekeo chini ya chura kiziwi aliyeshindwa kila kitu au wanaelewa nini au matumbo na njaa hayana shujaa! Mbona simple apishe arudi jikoni watu wataendelea na maisha yanasonga bila mbambamba.
 
Baada ya mauwaji ya Ali Mohamed Kibao, mheshimiwa rais aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze mauaji na apewe majibu haraka.
Lakini mpaka leo karibia mwaka mmoja tangu auawe.
Zaidi, wameuawa na kutekwa raia wengi zaidi.
Hii damu ya watu wasio na hatia, na machozi ya watu ya haki ipo siku CCM yetu na Rais watayalipa mbele za Mungu mkuu sana, mwenye kuumba vyote. Ambaye anawaona watu wake kuanzia ndani mpaka nje.
Tuseme Amina
Naona mawe yameanza kupiga kelele
 
Back
Top Bottom