Raisi Samia acha kulaumu watu kwa matitizo yako!!

Mwanamke siku zote huwa anaongozwa na hisia zaidi kuliko akili ww jiulize kwann kwenye nyumba za ibada waumini wengi ni wanawake? Jibu ni Moja tu ni wepesi wa kuamini regardless wanachoaminishwa kina ukweli ama laah!

Watu kama Hawa ukiwapa uongozi ktk nafas kubwa usitegemee ufanisi
 
Hovyo kabisa.
Mara kwa mara nimekuwa nikisema kwamba:-

1. Ikiwa Watanzania tuliwasaidia watu wa ANC ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini.
2. Ikiwa Watanzania pia tuliwasaidia watu wa ZANU ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wazungu (Waingereza) kule nchini Zimbabwe.
3. Aidha, ikiwa Watanzania vile vile pia tuliwasaidia watu wa FRELIMO ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wareno kule nchini Msumbiji.

Je, ni kwa nini basi majirani zetu wa Kenya au Uganda nao wasiwe na Haki ya kuwasaidia Wananchi wa Tanzania ili waweze kuondokana na Utawala dhalimu na usiitenda Haki wa CCM hapa nchini sawa sawa kabisa na vile ambavyo waTanzania walifanya kwa majirani zao wa Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji?

Remember:
"Injustice somewhere is a threat of justice everywhere."
By Martin Luther King Jr.

HAKI haina mipaka, wala Haki haijali mipaka ya nchi.
👍👍👍👍👍👆🙏
 
Well said.

Hawa mashetani wadhulumu wa haki wanataka waendelee na ushetani wao dhidi ya Watanzania, na watanzania wasipate msaada kutoka mahali popote Duniani.
 
Back
Top Bottom