Raisi mstaafu Kikwete akishow love na Mke wake mama Salma!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Full of love in the House!!!
Wanasayansi wanasema ukicheka unaongeza siku za kuishi!
Kila la Heri mstaafu Kikwete umetuacha pazuri, una kila sababu ya kucheka na kufurahia kwani nchi ipo kwenye mikono salama kabisa!

JK.jpg
 
Hii pic naona kama yazamani kidogo maana Mzee wa msoga sikuhizi amechakaa kidogo.. !
 
Kweli katuacha pazuri, Wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa, majipu

Back
Top Bottom