Raisi Anapowashauri Wawekezaji Kuja Kuwekeza Kwenye Giza

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Tumesikia muheshimiwa raisi JK yuko Africa ya kusini kwa ziara ya kitaifa na pia ameshakutana na wafanyabiashara wa South Africa na kuwashawishi kuja nchini Tanzania na kuja kuwekeza kwenye nyanja mbalimbali zikiwemo nyanja za kilimo na biashara nyingine! Je muheshimiwa raisi wa Tanzania ana habari kweli na swala hili ambalo ni janga la kitaifa kuhusiana na makali ya giza na wala sio mgao kuhusiana na umeme nchini kwake? je wakezaji hawa wanakuja kuwekeza kupitia nyanja ipi na hakuna umeme nchini? naomba kuwasilisha kama muhesimiwa raisi analijua hili.
 
President Kikwete is a joke,kwa raisi makini huwezi kwanza kuanza kupaa kwenda kwenye mnuso kama birthday wakati nchi iko matatizo makubwa alafu kichekekesho zaidi anakutana na wawekezaji? waje kuwekeza nini kwa nishati ipi iliopo?

Muwekezaji gani kilaza aje kuwekeza sehemu ambayo nishati mgogoro? Huyu mtu ni msiba mkubwa kwa watanzania na akitoka SA utasikia anapaa kwenda Australia kukagua Kangaloo
 
Nahisi anafanya makusudi mazima. Anatukomoa kwa vile last year hakupendwa katika election!
 
mnamjua mnamsikia?? huyu ndo zumbukuku, aache kubembea awasikilize nyinyi? mnanini kwanza? mkewe mwalimu wa stadi za kazi anavopenda kuuza sura hamtaki apate shosti gracca machel??
 
Back
Top Bottom