Raisi Anapowashauri Wawekezaji Kuja Kuwekeza Kwenye Giza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi Anapowashauri Wawekezaji Kuja Kuwekeza Kwenye Giza

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndallo, Jul 20, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Tumesikia muheshimiwa raisi JK yuko Africa ya kusini kwa ziara ya kitaifa na pia ameshakutana na wafanyabiashara wa South Africa na kuwashawishi kuja nchini Tanzania na kuja kuwekeza kwenye nyanja mbalimbali zikiwemo nyanja za kilimo na biashara nyingine! Je muheshimiwa raisi wa Tanzania ana habari kweli na swala hili ambalo ni janga la kitaifa kuhusiana na makali ya giza na wala sio mgao kuhusiana na umeme nchini kwake? je wakezaji hawa wanakuja kuwekeza kupitia nyanja ipi na hakuna umeme nchini? naomba kuwasilisha kama muhesimiwa raisi analijua hili.
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  President Kikwete is a joke,kwa raisi makini huwezi kwanza kuanza kupaa kwenda kwenye mnuso kama birthday wakati nchi iko matatizo makubwa alafu kichekekesho zaidi anakutana na wawekezaji? waje kuwekeza nini kwa nishati ipi iliopo?

  Muwekezaji gani kilaza aje kuwekeza sehemu ambayo nishati mgogoro? Huyu mtu ni msiba mkubwa kwa watanzania na akitoka SA utasikia anapaa kwenda Australia kukagua Kangaloo
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nahisi anafanya makusudi mazima. Anatukomoa kwa vile last year hakupendwa katika election!
   
 4. t

  threadcritic Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haingii akilini hata kidogo
   
 5. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  mnamjua mnamsikia?? huyu ndo zumbukuku, aache kubembea awasikilize nyinyi? mnanini kwanza? mkewe mwalimu wa stadi za kazi anavopenda kuuza sura hamtaki apate shosti gracca machel??
   
 6. V

  Vonix JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mungu amnusuru angani break huwa hazishiki.
   
Loading...