Raisi alikuwa nchi gani hapa ??

Raisi alikuwa nchi gani hapa ??

Zawadi kamili kutolewa masharti na vigezo kuzingatiwa

attachment.php

Najitosa kushindania zawadi hii:

huyu lazima alikuwa msibani tu nakane uwaga hakosekani kwene misiba. na ni hapahapa tanzania tu, wala siyo mbali kokote.
 
Hii aliwasimulia vijana wa bongo fleva mwezi uliopita pale magogoni na akaomba atungiwe wimbo wa wizi wa maharage JKT na nani kamwaga pombe yangu.

Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! ....we jama unavunja mbavu zangu..
 
Zawadi kamili kutolewa masharti na vigezo kuzingatiwa

attachment.php

Ukiangalia kwa makini hiyo picha inaonesha ni eneo tambarare, mvua sio za kutosha ndio maana mahindi yamekauka wakati bado ni madogo, na pia kushoto kuna mtu amevalia vazi la CCM, na pale kulia kuna mzee wa kimasai. Itakuwa ni Tanganyika tu......!
 
hili ni tusi kwa wakulima. what next. atalima kutumia jembe la maksai linalovutwa na Hummer.
 
Hii picha watakuwa wametengeneza tumtukufu rais wetu hawez kuea sehem kama hiyo
 
Natamani kuona jinsi walivyokuwa wamelibeba wanazama shambani ukikutana nao lazima ushangae na kujiuliza maswali kibao utajua kama siyo wehu basi wameliiba!!
 
Hapa ni huko kijijini kwao Msoga anawatembelea majirani na wajomba zake!! Si mnamuona hapo Kipozi Dc wa Bagamoyo wakiwa na yule hajjat Mkuu wa mkoa wa pwani.
 
Back
Top Bottom