Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
kumbe bagamoyo ni nchi pia loh....
Aliyeleta mada alitaka kujuwa ile ni nchi gani nami nikamwambi ni Bagamoyo pale. Kumaanisha kuwa JK hakuwa nje ya nchi bali alikuwa Bagamoyo. Jaribu kuwaza kwanza na kuelewa kabla ya kujibu na ku-quote watu.