Raisi alikuwa nchi gani hapa ??

Raisi alikuwa nchi gani hapa ??

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Zawadi kamili kutolewa masharti na vigezo kuzingatiwa

attachment.php
 

Attachments

  • sd.jpg
    sd.jpg
    25.7 KB · Views: 2,590
Hapo patakuwa kwa mwigulu huko iramba. jamaa linavyopenda sifa...
 
Siyo mvomero huko kwenye migogoro ya wafugaji na wakulima kweli?
 
Sasa Mpaka bush wanamuwekea sofa? Tuenzi utamaduni hapo angekalia kigoda ingekua picha nzuri kweliii... Hapo alikua Maeneo ya Msata
 
Hapana mkuu, atakua anasimulia jinsi alivyokuwa anaiba wali na maharage, wakati alipokuwa JKT..


Hii aliwasimulia vijana wa bongo fleva mwezi uliopita pale magogoni na akaomba atungiwe wimbo wa wizi wa maharage JKT na nani kamwaga pombe yangu.
 
hapo alikuwa mkoa wa morogoro alienda kutoa pole kwa wafiwa ,kuna watoto wanafunzi walipata ajali ya gari
Nipe zawadi yangu
 
Back
Top Bottom