Articulator
Senior Member
- Sep 21, 2011
- 194
- 141
Kwani kuna hoja umeiona kattika andiko lake?Usimuattack mleta mada jibu hoja yake
Kwani kuna hoja umeiona kattika andiko lake?Usimuattack mleta mada jibu hoja yake
Hakika kuwa kilaza sio lazima uwemo katika list ya wale wa UDOM waliotajwa jukwaani na bwana yule.alishahukumiwa na Bunge
Mkuu kwa sisi tusio wanazi sana wa vyama tunasikitika sana! Hasa kwa wewe uliyejipambanua kama mwanasheria kusema twende na midundo ya mwenye mamlaka!Ningekuwa hapa hapa nilipo ndugu
Sawa Mkuu, cheza uwezavyo. Siku njema!Mkuu kwa sisi tusio wanazi sana wa vyama tunasikitika sana! Hasa kwa wewe uliyejipambanua kama mwanasheria kusema twende na midundo ya mwenye mamlaka!
Tazama sheria kadhaa zimekiukwa na mwenye mamlaka,
Tazama baadhi ya viongozi wake wateule wanavyokiuka kanuni na taratibu huku wakijinadi kuwa wanaenda na kasi ya mwenye mamlaka!
Something is wrong with you!
I was not expecting!!!! You are not matured enough ktk kufikiri.Hujui mamlaka ya wananchi dhidi ya watawala waliochaguliwa unasema wacheze midundo yao???Wakiamua kuiba,kuvunja katba,kukandamizwa wacheze tu???Unateteaje Wateja wako kama umeshindwa kuelewa kwenye mambo yanayohitaji common sense???Mkuu, nakwambia sina hiyo tabia uidhaniayo. Kama mtu ana mfumo wake kwa utawala wake, wananchi wake wafanyaje zaidi ya kucheza midundo yake? Kucheza tofauti kuna faida gani?
I will leave you with this metaphor: Water seeks its own level.Acha paniki nenda na mdundo mkuu.
Akivunja katika nawe nenda lango la ikulu na mic na spika kamchane live.
Hi blaah blaah hazisaidii
Mtani wako Mpaka Leo hajaja na majibu ya lile swali Kule hahahaha. Heri ya mwaka mpya Mkuu...Heri ya 2018 mtani.
Ila mtani, ikawaje siku ile ukala kona mazima kuhusu ile sheria niliyokuomba?
Petro E. MselewaKumbe wanasheria wanapoitanaga learned brothers ni uwongo mtupu! Wengine ni majanga kabisa.
Twende na midundo gani mkuu? Ya kuvamia mambo bila kuwa na mipango thabiti, Kufanya mambo kinyume cha haki za binadamu kwa kisingizio cha maendeleo, kunyima uhuru wa kutoa mawazo yako, kuwa waoga ili kumfurahisha bwana mkubwa??? Midundo ipi hiyo? Nani kesha shitakiwa kwa rushwa, na ufisadi? Uongo ni relative maana sasa hivi ukikosoa kitu wewe ni muongo na adui wa taifa. Mara ya mwisho nilisikia waziri aliyepewa dhamana kipindi hicho akideclare mafisad wanaogopa hawapo tena wakati hatujaona fisadi hata mmoja akifikishwa mahakamani. Waliofikishwa ni matawi tu ndiyo maana hata PP hana ushahidi kila kesi ikitajwa anasema ushahidi bado. Matawi yanateseka tu korokoroni.Nawaandikia viongozi, watumishi wa umma, watu wote wa vyombo vya dola, wanasiasa,wanahabari, wasanii na wananchi wote wa kawaida. Tangu kuchaguliwa kwake mwaka 2015, Rais Dr. John Pombe Magufuli amejipambanua kwa mambo mbalimbali kupitia matendo na maneno yake.
Amevionyesha wazi anavyofichukia (mfano rushwa, ufisadi na uongo) na anavyovipenda (mfano ukweli, uthubutu na kujituma). Hivyo amevionyesha waziwazi kwa kuteua, kutumbua, kukemea, kuelekeza na kuongoza. Tayari tumeshamjua Rais wetu ana vitu vyake.
Rais si mtu wa kujaribu wala kujaribiwa. Ni mkali kwa anavyovichukia na mcheshi na mwenye utani mwingi kwa vinavyomfurahisha. Anasema na kutenda anachokiamini na katika namna yake ya kipekee kwa awamu yake. Kujua hayo kwa miaka miwili na ushee sasa ni jambo kubwa.
Baada ya kumjua Rais wetu, sasa twende na midundo yake. Midundo aliyoianza kuipiga mwaka 2015, haitabadilika na wala hana hata dalili ya kuibadilisha. Kucheza tofauti na midundo ya Rais ni kutafuta vya kulalamikia kila uchao.
Heri ya mwaka mpya 2018!
Ukombozi mkuu hauwezi kuletwa na wasomi wajinga kama hawa walio na elimu za kukariri, ukombozi nchi hii utaletwa na jamii ya wasio wasomi watakaochoshwa na mfumo mbovu wa maisha....what an idiotic take eh!!...midundo gani!!!yani rais akiswaga RAIA...vyombo vya habari...wapinzani wa kisiasa n.k watu wakubaliane tu!....what is this??yani tumefika kukubali utawala wa kiimla kijingajinga hivi???alafu hawa ndio wanaojiita wasomi wa kukomboa tz???ndio maana JPM anawafanya atakavyo.....maana anajua wengi akili zenu ndio hizi za kikondoo.....what a waste!!!
Ngosha, huyo ndiye msomi! Petro, mwanasheria eti alipata First class ya sheria UDSM, ndiye huyo think tank ya taifa hili changa! Petro E. Mselewa....what an idiotic take eh!!...midundo gani!!!yani rais akiswaga RAIA...vyombo vya habari...wapinzani wa kisiasa n.k watu wakubaliane tu!....what is this??yani tumefika kukubali utawala wa kiimla kijingajinga hivi???alafu hawa ndio wanaojiita wasomi wa kukomboa tz???ndio maana JPM anawafanya atakavyo.....maana anajua wengi akili zenu ndio hizi za kikondoo.....what a waste!!!
Petro E. Mselewa....what an idiotic take eh!!...midundo gani!!!yani rais akiswaga RAIA...vyombo vya habari...wapinzani wa kisiasa n.k watu wakubaliane tu!....what is this??yani tumefika kukubali utawala wa kiimla kijingajinga hivi???alafu hawa ndio wanaojiita wasomi wa kukomboa tz???ndio maana JPM anawafanya atakavyo.....maana anajua wengi akili zenu ndio hizi za kikondoo.....what a waste!!!
Nawaandikia viongozi, watumishi wa umma, watu wote wa vyombo vya dola, wanasiasa,wanahabari, wasanii na wananchi wote wa kawaida. Tangu kuchaguliwa kwake mwaka 2015, Rais Dr. John Pombe Magufuli amejipambanua kwa mambo mbalimbali kupitia matendo na maneno yake.
Amevionyesha wazi anavyofichukia (mfano rushwa, ufisadi na uongo) na anavyovipenda (mfano ukweli, uthubutu na kujituma). Hivyo amevionyesha waziwazi kwa kuteua, kutumbua, kukemea, kuelekeza na kuongoza. Tayari tumeshamjua Rais wetu ana vitu vyake.
Rais si mtu wa kujaribu wala kujaribiwa. Ni mkali kwa anavyovichukia na mcheshi na mwenye utani mwingi kwa vinavyomfurahisha. Anasema na kutenda anachokiamini na katika namna yake ya kipekee kwa awamu yake. Kujua hayo kwa miaka miwili na ushee sasa ni jambo kubwa.
Baada ya kumjua Rais wetu, sasa twende na midundo yake. Midundo aliyoianza kuipiga mwaka 2015, haitabadilika na wala hana hata dalili ya kuibadilisha. Kucheza tofauti na midundo ya Rais ni kutafuta vya kulalamikia kila uchao.
Heri ya mwaka mpya 2018!
Petro E. MselewaTwende na midundo gani mkuu? Ya kuvamia mambo bila kuwa na mipango thabiti, Kufanya mambo kinyume cha haki za binadamu kwa kisingizio cha maendeleo, kunyima uhuru wa kutoa mawazo yako, kuwa waoga ili kumfurahisha bwana mkubwa??? Midundo ipi hiyo? Nani kesha shitakiwa kwa rushwa, na ufisadi? Uongo ni relative maana sasa hivi ukikosoa kitu wewe ni muongo na adui wa taifa. Mara ya mwisho nilisikia waziri aliyepewa dhamana kipindi hicho akideclare mafisad wanaogopa hawapo tena wakati hatujaona fisadi hata mmoja akifikishwa mahakamani. Waliofikishwa ni matawi tu ndiyo maana hata PP hana ushahidi kila kesi ikitajwa anasema ushahidi bado. Matawi yanateseka tu korokoroni.
Na haya mawazo yako yanadhihirisha namna gani jamii ya wajiitao wasomi isiyo na msaada wowote wa kumkomboa Mtanzania, yaani rais avunje sheria watu wamshangilie?!Nawaandikia viongozi, watumishi wa umma, watu wote wa vyombo vya dola, wanasiasa,wanahabari, wasanii na wananchi wote wa kawaida. Tangu kuchaguliwa kwake mwaka 2015, Rais Dr. John Pombe Magufuli amejipambanua kwa mambo mbalimbali kupitia matendo na maneno yake.
Amevionyesha wazi anavyofichukia (mfano rushwa, ufisadi na uongo) na anavyovipenda (mfano ukweli, uthubutu na kujituma). Hivyo amevionyesha waziwazi kwa kuteua, kutumbua, kukemea, kuelekeza na kuongoza. Tayari tumeshamjua Rais wetu ana vitu vyake.
Rais si mtu wa kujaribu wala kujaribiwa. Ni mkali kwa anavyovichukia na mcheshi na mwenye utani mwingi kwa vinavyomfurahisha. Anasema na kutenda anachokiamini na katika namna yake ya kipekee kwa awamu yake. Kujua hayo kwa miaka miwili na ushee sasa ni jambo kubwa.
Baada ya kumjua Rais wetu, sasa twende na midundo yake. Midundo aliyoianza kuipiga mwaka 2015, haitabadilika na wala hana hata dalili ya kuibadilisha. Kucheza tofauti na midundo ya Rais ni kutafuta vya kulalamikia kila uchao.
Heri ya mwaka mpya 2018!
Usishangae mkuu jamii ya wasomi ndiyo imeharibu taifa hili, kazi zao hata Maprof walioko serikalini ni kuposha takwimu tu kwa maslahi yao na familia ili mfalme afurahi waendelee na nyadhifa zao.Ngosha, huyo ndiye msomi! Petro, mwanasheria eti alipata First class ya sheria UDSM, ndiye huyo think tank ya taifa hili changa! Petro E. Mselewa
Ndio hao wasomi wetu. Huyu wa michezo behaves as if he has never seen the inside of a class!Usishangae mkuu jamii ya wasomi ndiyo imeharibu taifa hili, kazi zao hata Maprof walioko serikalini ni kuposha takwimu tu kwa maslahi yao na familia ili mfalme afurahi waendelee na nyadhifa zao.
Angalia kwa mfano awamu hii kumejazana ma PhD holder lakini hakuna la maana yanayo fanya zaidi ya kumpotosha tu mfalme ili kulinda kazi zao
Ndio maana ikawekwa katiba ifuatwe.akitaka kutupeleka kiibilisi tukubali tu kisa ndivyo atakavyo!hapanaNawaandikia viongozi, watumishi wa umma, watu wote wa vyombo vya dola, wanasiasa,wanahabari, wasanii na wananchi wote wa kawaida. Tangu kuchaguliwa kwake mwaka 2015, Rais Dr. John Pombe Magufuli amejipambanua kwa mambo mbalimbali kupitia matendo na maneno yake.