hajawa Mungu... isipokuwa position, wanasema kila jaribu lina kipimo chake, jaribu huwa linamjia mtu kwa ukubwa wa kipimo cha mtu(nafasi/position yako) so anaposima yeye ajaribu kwa jinsi nilivyomuelewa ili nibidi nikatafute kujua kwanza nafasi aliyonayo, nikajua yafuatayo..
KUPITIA MIFANO HIO TUNAONA KUWA RAIS ANA NGUVU HIZI
1.Rais wa Tanzania ana nguvu akiamua anaweza kuliendesha bunge akiwa ikulu
2. Rais wa Tanzania anaweza kuamua uwekwe ndani na usiulize na watu wakaogopa kuuliza,
3. Rais wa Tanzania ndo mtu mwenye mamlaka ya kuchagua viongozi wote wa nchi ispokuwa spika wa bunge na watu baadhi
4. Rais wa Tanzania ndo anachagua magavana wote, kuanzia benki kuu na kuendelea
5. Rais wa Tanzania ndo mwenye uwezo wa kuamua awaachie rais yupi wakati wake ukiisha
6. Rais wa Tanzania ndo anachagua makamishna wote wa juu wa jeshi,
7. Rais wa Tanzania ana uwezo wa kuamuru hela ifungiwe B.O.T au itoke kwenda mahali mbalimbali
8. Rais wa Tanzania anauwezo wa kuibadilisha mihimili mingine anavyotaka kiuongozi, mfumo na mwenendo
9. Rais wa Tanzania anaweza kufunga chombo chochote kile cha habari bila kuulizwa,
10. Rias wa Tanzania ndo anaweza kumfanya mtu yeyote atoke kimaisha,
let say umemaliza zako chuo uko mtaani au hata hujasoma soma vizuri akakupa ukuu wa mkoa
11. Rais wa Tanzania ndo anauwezo wa kusaini mtu afe au asife, kunyongwa,
12. Rais wa Tanzania ndo pekee anaweza kukufanya uiangalie post yako kabla hujaipost kama haina uchochez,
13. Ndo mtu pekee aliyelegezewa masharti na katiba , anaweza akafanya chochote mkadhan kakiuka katiba kumbe ukipata wafafanuzi wazuri wakakueleza unakuta upande mwingine wa katiba unamruhusu,
duh ongeza nyingine ,
Ijue nguvu(mamlaka) ya Rais wa Tanzania
Hilo jaribu unalotaka kumjaribu lina ukubwa wa kutikisa nafasi aliyonayo..