Rais wetu tumeshamjua, twende na midundo yake!

Ni heri kuwa na chama kimoja kuliko utitiri wa vyama unaofuga wala ngada ,wauza ngada,wakwepa kodi na waliojimilikisha ardhi bila kuitumia.

Hakuna haja ya kuwa na vyama ambavyo ni maficho ya mafisadi.
Hoja dhaifu kabisa
 
Mkuu, nakwambia sina hiyo tabia uidhaniayo. Kama mtu ana mfumo wake kwa utawala wake, wananchi wake wafanyaje zaidi ya kucheza midundo yake? Kucheza tofauti kuna faida gani?

Ww ni kijana na una elimu yako inayoweza kukulinda popote. Post za kujikomba sio poa kaka. Anyway nisibadilishe sana unavyofikiri lakini habari ndio hiyo.
 
Nawaandikia viongozi, watumishi wa umma, watu wote wa vyombo vya dola, wanasiasa,wanahabari, wasanii na wananchi wote wa kawaida. Tangu kuchaguliwa kwake mwaka 2015, Rais Dr. John Pombe Magufuli amejipambanua kwa mambo mbalimbali kupitia matendo na maneno yake.

Amevionyesha wazi anavyofichukia (mfano rushwa, ufisadi na uongo) na anavyovipenda (mfano ukweli, uthubutu na kujituma). Hivyo amevionyesha waziwazi kwa kuteua, kutumbua, kukemea, kuelekeza na kuongoza. Tayari tumeshamjua Rais wetu ana vitu vyake.

Rais si mtu wa kujaribu wala kujaribiwa. Ni mkali kwa anavyovichukia na mcheshi na mwenye utani mwingi kwa vinavyomfurahisha. Anasema na kutenda anachokiamini na katika namna yake ya kipekee kwa awamu yake. Kujua hayo kwa miaka miwili na ushee sasa ni jambo kubwa.

Baada ya kumjua Rais wetu, sasa twende na midundo yake. Midundo aliyoianza kuipiga mwaka 2015, haitabadilika na wala hana hata dalili ya kuibadilisha. Kucheza tofauti na midundo ya Rais ni kutafuta vya kulalamikia kila uchao.

Heri ya mwaka mpya 2018!
Kati ya watu niliokuwa nawaamini wewe ni mmojawao lakini kwa taklibani mwaka na nusu umegeuka kinyonga, maandiko yako mengi yamekuwa ya kusujudia serikali ya chama cha mapinduzi,siku hizi kwako sio issue Wanasiasa wa upinzani kunyimwa Uhuru wao wa kufanya siasa,kukamatwa na kunyimwa dhamana, utekaji na utesaji, kuminywa Uhuru wa kujieleza,kutisha na kushambulia watu kwa bunduki (Tundu Lisi) yote hayo hauyaoni? Sasa naamini kuwa Petro wa juzi sio wa Leo,Baku njia kuu umeshaanza kuchepuka ndugu
 
Ushahidi please!!!
 
Nawaandikia viongozi, watumishi wa umma, watu wote wa vyombo vya dola, wanasiasa,wanahabari, wasanii na wananchi wote wa kawaida. Tangu kuchaguliwa kwake mwaka 2015, Rais Dr. John Pombe Magufuli amejipambanua kwa mambo mbalimbali kupitia matendo na maneno yake.

Amevionyesha wazi anavyofichukia (mfano rushwa, ufisadi na uongo) na anavyovipenda (mfano ukweli, uthubutu na kujituma). Hivyo amevionyesha waziwazi kwa kuteua, kutumbua, kukemea, kuelekeza na kuongoza. Tayari tumeshamjua Rais wetu ana vitu vyake.

Rais si mtu wa kujaribu wala kujaribiwa. Ni mkali kwa anavyovichukia na mcheshi na mwenye utani mwingi kwa vinavyomfurahisha. Anasema na kutenda anachokiamini na katika namna yake ya kipekee kwa awamu yake. Kujua hayo kwa miaka miwili na ushee sasa ni jambo kubwa.

Baada ya kumjua Rais wetu, sasa twende na midundo yake. Midundo aliyoianza kuipiga mwaka 2015, haitabadilika na wala hana hata dalili ya kuibadilisha. Kucheza tofauti na midundo ya Rais ni kutafuta vya kulalamikia kila uchao.

Heri ya mwaka mpya 2018!
Yeah ehe,upo kweli ndugu yangu ni kufuata ya kwake au ......
 
Right kama Hayati Mwl. Nyerere angeenda na midundo ya wakoloni leo hii hiyo degree ya sheria (kama kweli unayo) ungekuwa unaisikia tu!
Degree ya sheria unayo wewe mkuu, mimi sina. Jadili hoja, achana na mambo ya degree
 
Kama hutaki, pisha hama nchi yetu!
"nchi yetu" .................hata Idd Amin aliamini kuwa Uganda ni "nchi yake".................. he could not imagine by those days on the reign that one day he will be on the run!...................................Heri ya Mwaka mpya 2018
 
....what an idiotic take eh!!...midundo gani!!!yani rais akiswaga RAIA...vyombo vya habari...wapinzani wa kisiasa n.k watu wakubaliane tu!....what is this??yani tumefika kukubali utawala wa kiimla kijingajinga hivi???alafu hawa ndio wanaojiita wasomi wa kukomboa tz???ndio maana JPM anawafanya atakavyo.....maana anajua wengi akili zenu ndio hizi za kikondoo.....what a waste!!!
 
Tupishe!
 
Sasa unataka nani awe Rais wako? Kuliko kulalamika na kutapatapa si useme nani utakuwa happy akiwa rais wako?
 
Yule mgombea wenu wa Urais alifukuzwa kama fisadi kutoka CCM nyie mkapokea kama shujaa
Rafiki yangu mimi si mwanachama wa chama chochote bali ni mtanzania anayetaka kuona haki inatamalaki katika taifa letu. Lakini ikiwa unamsema Lowassa ambaye alisimama kama mhombea wa Chadema baada ya kutoka CCM sikumbuki kama alifukuzwa huko. Na kama ni fisadi kweli basi panapo mstahili ni mahakamani ili apate haki yake.
 
Hukumbuki maazimia ya kamati ya kujivua magamba?
Hukumbuki sakata la kukatwa?
 
Incredible, unpalatable, "Rubbish", midundo ya kuvunja Katiba, Sheria na Taratibu tulizojiwekea, tulizompa mamlaka azisimamie! At all fours, he must be guided by Law! Rule of Law! Very strange of you!
Heri ya Mwaka Mpya 2018

Acha paniki nenda na mdundo mkuu.

Akivunja katika nawe nenda lango la ikulu na mic na spika kamchane live.

Hi blaah blaah hazisaidii
 
Nawaandikia viongozi, watumishi wa umma, watu wote wa vyombo vya dola, wanasiasa,wanahabari, wasanii na wananchi wote wa kawaida. Tangu kuchaguliwa kwake mwaka 2015, Rais Dr. John Pombe Magufuli amejipambanua kwa mambo mbalimbali kupitia matendo na maneno yake.

Amevionyesha wazi anavyofichukia (mfano rushwa, ufisadi na uongo) na anavyovipenda (mfano ukweli, uthubutu na kujituma). Hivyo amevionyesha waziwazi kwa kuteua, kutumbua, kukemea, kuelekeza na kuongoza. Tayari tumeshamjua Rais wetu ana vitu vyake.

Rais si mtu wa kujaribu wala kujaribiwa. Ni mkali kwa anavyovichukia na mcheshi na mwenye utani mwingi kwa vinavyomfurahisha. Anasema na kutenda anachokiamini na katika namna yake ya kipekee kwa awamu yake. Kujua hayo kwa miaka miwili na ushee sasa ni jambo kubwa.

Baada ya kumjua Rais wetu, sasa twende na midundo yake. Midundo aliyoianza kuipiga mwaka 2015, haitabadilika na wala hana hata dalili ya kuibadilisha. Kucheza tofauti na midundo ya Rais ni kutafuta vya kulalamikia kila uchao.

Heri ya mwaka mpya 2018!
hata kama ni kutafuta shavu.....this is stooping too low.
it only reduces the so called "learned elite" into a mere bunch of morons!!
 
Hukumbuki maazimia ya kamati ya kujivua magamba?
Hukumbuki sakata la kukatwa?
Pamoja na kwamba mimi si mwanachama wa chama chochote lakini kwa umri wangu naijua CCM vizuri. Kukatwa kwenye ugombea siyo kufukuzwa ndani ya chama na wala maazimio ya hiyo kamati (ya magamba!) Siyo kufukuzwa ndani ya chama. CCM ina utaratibu mahsusi wa mtu (na hasa kiongozi wa ngazi za juu kama Lowassa) kufukuzwa kutoka ndani ya chama. Pengine unachanganya kufukuzwa na mtu kujiondoa.
 
Back
Top Bottom