Rais wetu tumeshamjua, twende na midundo yake!

Rais wetu tumeshamjua, twende na midundo yake!

Ni heri kuwa na chama kimoja kuliko utitiri wa vyama unaofuga wala ngada ,wauza ngada,wakwepa kodi na waliojimilikisha ardhi bila kuitumia.

Hakuna haja ya kuwa na vyama ambavyo ni maficho ya mafisadi.
Kwa akili yako ni heri kuwa na mkono au mguu wenye kidole kimoja kuliko mkono au mguu wenye vidole vitano. Ndizo akili hizo.
 
Back
Top Bottom