Rais wetu (jk) akikutana na marais mbali mbali duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wetu (jk) akikutana na marais mbali mbali duniani

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtu wa Pwani, Mar 3, 2011.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  HAPA TUJARIBU KUWEKA PICHA ZA RAIS WETU NA MARAIS MBALI MBALI ALIONANA NAO.

  NNATARAJI ATAKUWA NI RAIS WA KWANZA TANZANIA KUKUTANA NA MARAIS WENGI DUNIANI

  jk1.jpg

  HAPA AKIKUTANA NA RAIS WA usA

  JK2.jpg

  HAPA AKIKUTANA NA RAIS WA LIBYA
   
 2. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hapa akikutana na rais wa comoro

  JK3.jpg
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Fisadi tu huyo!
   
 4. R

  Renegade JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  kwa maana ya gadaffi au?
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hapa akikutana na marais wa kenya na uganda
  JK4.jpg
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Huyu si alishawahi sema kua asiposafiri watanzania tutakufa na njaa?
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ngoja hapa nisichangie kwanza nahisi nitakuwa banned maana Mods wanakataza ku-attack personality ya mtu
   
 8. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tuwe wakweli tuache propaganda zisizokuwa na msingi. Ukitaka kujua raisi alikutana na maraisi wengi duniani google utapata na ninahakika Obama au maraisi wa marekani wataongoza wakifuatiwa na viongozi wa India na nchi za ulaya.
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Na huyu yuko naye kiongozi wa wapi?
   
 10. B

  Batale JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,068
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Alikutana na rais wa Jamaica
   
 11. Mwelewa

  Mwelewa JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 2,315
  Likes Received: 2,530
  Trophy Points: 280
  Huyu, atakuwa raisi wa jamii ndogo ya TMK!
   
 12. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Raisi wa Jamaika huyu!
   
 13. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Muheshimiwa by the time anatoka madarakani atakuwa rais wa Africa aliyeongoka kwenda nje ya nchi yake na kukutana na maraisi wengi,
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  RAIS_ANAMWAMBIA_NINI_HUYU_BINTI.jpg

  na huyu je???hapa kweli hamna kitu.......
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 19. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  Anauza sura tena hao mabinti kapiga ngwara tu. rais wetu zero kweli
   
 20. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Anaimbisha!
  JK " ukimaliza tu fomfoo unakuwa mkuu wa wilaya"
  Hakielimu " I cant believe it, ntafurahi sana"
   
Loading...