hapa raisi wa tanzania akiwa na raisi wake
Ndio ukweli wenyewe huo....nasikia jamaa huwa anajidai anasema kamuachia mkwere atawale serekali yeye anatawala uchumi! sasa nani Raisi hapo?Gobore, hii ni ya mwaka..nimecheka kweli, naona wikendi yangu imeanza vizuri.