IronBroom JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 521 Reaction score 37 Dec 16, 2009 #2 ngoshwe said: Click to expand... Iko wapi hiyo picha?Kule kwenye mapicha napo umefanya hivihivi.Kama hujui namna ya kutundika picha kwanini usiulize wanojua wakusaidie?Ah!
ngoshwe said: Click to expand... Iko wapi hiyo picha?Kule kwenye mapicha napo umefanya hivihivi.Kama hujui namna ya kutundika picha kwanini usiulize wanojua wakusaidie?Ah!
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 294 Dec 16, 2009 #3 point nafikiri anaitaji msaada tumechoka kuona hewa
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 77,813 Reaction score 164,912 Dec 16, 2009 #4 Nahisi jamaa alitaka kututumia picha ya kwenye mabembea