Rais wetu aige mfano wa mwenzake wa Kenya

Rais wetu aige mfano wa mwenzake wa Kenya

Siku zote naamini Africa tuna muundo wetu wenyewe tunaohitaji wa kuendana na hiyo demokrasia wanayoitaka lakini si hii demokrasia ya kuiga kutoka kwa wazungu,itatuchukua Miaka mingi sana kukubaliana na hali wanayoitaka wazungu.

Tuje na huo mfumo na tukubaliane, ila mimi naona kwa hivi vichwa vya kiafrica ni bora tuangalie pia mfuko wa UK, kwamba tufanye kampeni for parliament level, halafu chama kinachopata wabunge wengi kiweze kuunda serikali , hii itatusaidia sana kuzuia machafuko,chuki nchini na kuondoa tensions zisizo na maana. Mfumo huu wa demokrasia ya USA tumeshindwa kweupe, sio Tz, Kenya wala SA, kwanza nasikia zuma nae eti kashinda kura za kutokuwa na imani wakati huo wananchi wakiwa nje kwa maadamano, aibu nyingine hiyo. Kwa wizi huu wa Uhuru sidhani hata Zimbabwe inaweza kujifunza kitu, utamshauri nini Mugabe aachine madaraka na wakati wew mweyewe umeingia kwa kuiba? ndio maana AU kimekuwa ni chombo ambacho incompetence maana maraisi wote wakitazama wanashidwa hata kukemeana, wote mtaji wao mkubwa ni wizi tu kura.
 
Hapa sio Kenya
Hapa siyo Kenya nakubaliana na wewe.....

Ila tunachoongelea hapa ni similarities....

Kenya wana Katiba ya nchi na sisi pia tunayo....

Sasa inakuwaje Rais wa nchi jirani at least anatii Katiba ya nchi yake, wakati wa kwetu mmmh......
 
Siasa za Kenya ni tofauti na Tanzania.............!
Ni kweli Tanzania ni tofauti na Kenya maana Tanzania ni jehanamu na Kenya ni mbinguni kwa context ya East Africa. Ila Kenyatta ana akili sana, he has shamed them and they will feel shame infront of him...
 
Wanamkubali vibaya!!!!!!!!!!!, ndiyo nini sasa hicho ulichoandika????.Wewe mdada hii lugha hauijui au umeamua tu kujitoa fahamu???.
Bora umempasha huyo kada wa Lumumba.....

Yeye badala ya kujibu hoja analeta blah blah zake za kimakinikia.......
 
Kama unampenda sana kenyata hamia kenya, by the way ukiondoa ukabila - wakenya wanamkubali ngosha vibaya kabisa asikuambie mtu!
Ngosha anafungamana na Raila nikweli kabisa, ila wakenya wengi kamwe hawawezi kumuunga mkono raila kwa sabb ya ukabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamkubali Ngosha kimaneno na siyo kivitendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa siyo Kenya nakubaliana na wewe.....

Ila tunachoongelea hapa ni similarities....

Kenya wana Katiba ya nchi na sisi pia tunayo....

Sasa inakuwaje Rais wa nchi jirani at least anatii Katiba ya nchi yake, wakati wa kwetu mmmh......
We kaandamane basi bana, sisi unatuchanganya tu hapa! Tuna mambo mengi kichwani, hela hatuna, badala ulete mchongo wa hela we unatulazimisha tuwe wajaluo!
 
Kwa Mr alcohol tuna hasara tena hasara kubwa shida yake HAKUSHINDA ndo maana kila wakati polisi, mabomu, virungu, mara utasikia " MIMI NDIYE RAIS" hii ni Psychological effect ya kukalia nafasi isiyomhusu kila akitaka kutoa maelekezo lazima aanze na vitisho, Mara utamsikia "HAKUNA MAANDANO SIJARIBIWI" mara utamsikia "TANGU SASA MARUFUKU MIKUTANO YA SIASA" lakini yeye kila siku kiguu na njia kunadi chama chake utafikir ni kipindi cha uchaguzi, mara utamsikia " KILA MTU AHUTUBIE ALIKOCHAGULIWA" lakini utashangaa Mr Polepole, Shaka Sijui Shaka wote wapo wilaya mbali mbali wakihutubia sasa hawa walichaguliwa wapi? NASEMA TENA ALCOHOL HAKUCHAGULIWA NA WANANCHI ISIPOKWA njomba nchumali, Msoga na mzee ruksa Kapilimba hawa ndio waliotuingiza mkenge wa kunywa POMBE TUSIOITAKA
 
Tuje na huo mfumo na tukubaliane, ila mimi naona kwa hivi vichwa vya kiafrica ni bora tuangalie pia mfuko wa UK, kwamba tufanye kampeni for parliament level, halafu chama kinachopata wabunge wengi kiweze kuunda serikali , hii itatusaidia sana kuzuia machafuko,chuki nchini na kuondoa tensions zisizo na maana. Mfumo huu wa demokrasia ya USA tumeshindwa kweupe, sio Tz, Kenya wala SA, kwanza nasikia zuma nae eti kashinda kura za kutokuwa na imani wakati huo wananchi wakiwa nje kwa maadamano, aibu nyingine hiyo. Kwa wizi huu wa Uhuru sidhani hata Zimbabwe inaweza kujifunza kitu, utamshauri nini Mugabe aachine madaraka na wakati wew mweyewe umeingia kwa kuiba? ndio maana AU kimekuwa ni chombo ambacho incompetence maana maraisi wote wakitazama wanashidwa hata kukemeana, wote mtaji wao mkubwa ni wizi tu kura.
AU haina meno sasa wewe mtu kama Mugabe ndo anakua mwenyekiti unategemea akemee nini kuhusu demokrasi na ndo maana hadi sasa hakuna kauli yoyote kutoka AU,ni UN na NGOs zingine ndizo zinauwezo wakuongelea yanayoendelea na sio AU.
Tukibadili mfumo tufuate wa UK nahisi bado tutafeli tuu,mf.hai kuna vyama vinaongozwa na mtu mmoja miaka nenda rudi na yeye ndo mamlaka yote ya maamuzi nani awe nani unategemea hiki chama hata kikipata wabunge wengi kitaunda serikali gani kama sio kurudi kulekule tumpe huyu mtoto wa Mjomba uwaziri ,huyu ndugu wa yule n.k.
 
Huo mfumo uende mbele zaidi kwa kusema chama kipate wabunge wengi na kifikishe asilimia fulani, labda 50.5% or 51%, vyama vyote vikishindwa kufikisha basi chama cha kwanza kilicho na wabunge wengi labda kama kimefikisha 45% kinaweza kikaungana na chama cha pili au chama chochote kikaunda serikali, maana yake tunaweza tukajikuta tunakuwa na serikali ya vyama tofauti, hili litawezekana sana kuondoa mgogoro Zanzibar , leo hii kwa Zenj maana yake CUF ingekuwa na uwezo wa kuform government na ccm ,au CUF na chadema, au ccm na chadema, au ccm na Tadea, au CUF na ACT etc, hata tume ya uchaguzi isingeweza kutumika vibaya kama tuonavyo katika chaguzi zilizopita.
 
Ngoja nipingane nawe Mkuu.

Siamini kuwa watu wapo kimya kwa kuwa wameridhika na hatua ya watawala wetu ya kutuziba midomo.....

Ila ninachoamini ni kuwa watu wanaamua kukaa kimya kwa kuwa wanayaogopa magari ya washawasha na virungu vya Polisi na kuogopa kufunguliwa mashitaka ya uchochezi na kulazimishwa kwenda kupimwa mkojo!
Watu wako kimya kwa sababu vitu vilivyokuwa vina wakera watu, Raisi huyu anavikabili. Na ana nia ya kuviondoa kabisa. Tukiwa very serious, I mean very serious mambo ya kuongelea katiba - kuivunja au kutoivunja ni watu wachache sana wanaojali hilo (hasa ni Chadema wanaotaka kuonyesha mapungufu kwa utawala huu - mapungufu ya kuvunja katiba ambayo hayapo. Maana kuvunja katiba ni kosa kubwa sana inapaswa waende mahakamani kwa hilo - Je! kuna aliyekwenda mahakamani au wana sema tu?). Huwezi ukasimama Kishumundu Moshi ukawaambia watu wa huko kwamba usimpende Dr. Magufuli amevunja katiba ya nchi wakakuelewa! Ila utasema vitu kama "Sisi watu wa kilimanjaro hatuhitaji kuongozwa na CCM maana tumeendelea sana kuliko sehemu yoyote Tanzania tunajitosheleza hivyo hatuhitaji chochote tutajiletea maendeleo kupitia chama chetu CHADEMA! - Lakini mkija kwenye social media mnaongea kuvunjwa katiba kila kukicha! Peleka shauri mahakamani mbona hamfanyi hivyo?
 
Bahati mbaya wengi tunafikiri kuwa nguvu za mtu zinatoka ndani yake. Kiukweli zinatoka kwa Mungu na kwa wanadamu wanaomzunguka.
Viongozi wengine wanna nguvu kutoka kwa majeshi na huzitumia Barbara.
Kutamba kuwa Mimi si mchezo ni kukengeuka ni tambo zifaazo mabondia waeili na si mtu kwa watu

Ni kweli kabisa....

Binadamu ambaye ana hofu na Mungu huwa anakuwa mnyenyekevu kwa binadamu wenzake....

Huyu wetu kwa namna anavyopenda "kijifagilia" na kupenda kutoa vitisho kwa wananchi wake, inaonekana dhahiri namna ambavyo alivyolewa madaraka aliyopewa na wananchi hao hao kupitia sanduku la kura!
 
Bahati mbaya wengi tunafikiri kuwa nguvu za mtu zinatoka ndani yake. Kiukweli zinatoka kwa Mungu na kwa wanadamu wanaomzunguka.
Viongozi wengine wanna nguvu kutoka kwa majeshi na huzitumia Barbara.
Kutamba kuwa Mimi si mchezo ni kukengeuka ni tambo zifaazo mabondia waeili na si mtu kwa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli unyenyekevu aliokuwa ameuonyesha huyu Mkulu wetu wakati anaingia madarakani na tambo anazoonyesha hivi sasa na kujiona yeye ndiyo each and everything na kuwaona wananchi wake including "his cabinet" kuwa ni wapumbavu na malofa ni kiwango cha ulevi wa madaraka uliopitiliza!
 
Kama unampenda sana kenyata hamia kenya, by the way ukiondoa ukabila - wakenya wanamkubali ngosha vibaya kabisa asikuambie mtu!
Ngosha anafungamana na Raila nikweli kabisa, ila wakenya wengi kamwe hawawezi kumuunga mkono raila kwa sabb ya ukabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamii forum aturuhusu story za vijeweni.
Izi story kapige na wanywa kahawa wenzako
 
Jamii forum aturuhusu story za vijeweni.
Izi story kapige na wanywa kahawa wenzako
Bora Mkuu umempa "makavu" huyo member wa Lumumba buku 7 team......

Kwa kuwa humu JF tunajibizana kwa hoja na siyo yeye kutuletea hizo stories zake za mtaa wa Lumumba....
 
Wanamkubali vibaya!!!!!!!!!!!, ndiyo nini sasa hicho ulichoandika????.Wewe mdada hii lugha hauijui au umeamua tu kujitoa fahamu???.
Mkuu usishangae sana....

Hizo ndiyo lugha wanazopenda kuzitumia hao "masista do" wa Lumumba.....
 
Back
Top Bottom