Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,076
- Thread starter
- #161
Umeongea vitu vya msingi sana....Kwa Mr alcohol tuna hasara tena hasara kubwa shida yake HAKUSHINDA ndo maana kila wakati polisi, mabomu, virungu, mara utasikia " MIMI NDIYE RAIS" hii ni Psychological effect ya kukalia nafasi isiyomhusu kila akitaka kutoa maelekezo lazima aanze na vitisho, Mara utamsikia "HAKUNA MAANDANO SIJARIBIWI" mara utamsikia "TANGU SASA MARUFUKU MIKUTANO YA SIASA" lakini yeye kila siku kiguu na njia kunadi chama chake utafikir ni kipindi cha uchaguzi, mara utamsikia " KILA MTU AHUTUBIE ALIKOCHAGULIWA" lakini utashangaa Mr Polepole, Shaka Sijui Shaka wote wapo wilaya mbali mbali wakihutubia sasa hawa walichaguliwa wapi? NASEMA TENA ALCOHOL HAKUCHAGULIWA NA WANANCHI ISIPOKWA njomba nchumali, Msoga na mzee ruksa Kapilimba hawa ndio waliotuingiza mkenge wa kunywa POMBE TUSIOITAKA
Nimependa sana comments zako...
Ingawa as usual wale vijana wa Lumumba povu litakuwa linawatoka na wanaweza kukushukia kwa hasira.......