Hiyo ni chuki tu inakusumbua, kenya naenda mara kwa mara nimestop hadi uchaguzi upite - wakenya wengi wanamkubali ngosha, hata kama hupendi ila huo ndio ukweli!Acha uongo mkuu....tangu Ngosha aingie tumekuwa "kituko" mbele ya wakenya.... wanamuona yupo standards za chini sana kuwa Rais
Acha uongo mkuu....tangu Ngosha aingie tumekuwa "kituko" mbele ya wakenya.... wanamuona yupo standards za chini sana kuwa Rais
Sent using Jamii Forums mobile app