Rais wangu kuna kipindi hunikosha sana!

Rais wangu kuna kipindi hunikosha sana!

Kweli una akili sana asante kwa kuwa mkweli na muwazi.
 
Mimi nitamkumbuka kwa haya
1. Rais asiyejua chanzo cha umaskini wa wananchi na nchi yake ni nini.
2. Rais anayeamini ujauzito kwa watoto wa kike ni viherehere vyao.
3. Rais aliyekuwa anapewa ulinzi wa majini (Sheikh Yahaya)
4. Rais aliyetoa dhahabu yetu kwa kubadilishana na vyandarua
5. Rais aliyetoa hoteli ya Kilimanjaro (Dar) kwa waarabu kwa kupewa......................
 
Wanajamii, kila Rais akiondoka madarakani basi kuna mambo ambayo Daima yatatufanya tumkumbuke. Kwa upande wa JK mambo 3 nitakayomkumbuka ni 1. KUWA NA MOYO WA HURUMA NA UBINADAMU...Kila mara amekua mwepesi sana kutembelea waliofiwa na hata wanaoumwa mahospitalini. 2. KUZURU NCHI MBALIMBALI....Ziara za JK zimetuwezesha kupewa mikopo na mataifa mbali mbali ingawa wengine wanambezi lakini siku moja watajua uzuri wa ziara hizi. 3. KUOENDA WATU WA RIKA LA CHINI NA WENYE KIPATO KIDOGO..Wageni wa kwanza kuwaalika Ikulu walikua ni BONGO FLEVA akina Juma Nature nk. Amewaalika wengi Ikulu akina Ray C nk. JE WENGINE MNASEMAJE?

Hata Mabutu alikuwa anapenda sana wanamuziki wakati huohuo akihamisha madini na raslimali za DRC kwenda Ubelgiji na Ufaransa. Ni vizuri pia umkumbuke kwenye scandle za za EPA, DEEP GREEN, MEREMETA, UFISADI ULIOKUBUHU, UDINI ULIOFIKIA KIWANGO CHA KUUAWA VIONGOZI WA DINI, KUTAPAKAA KWA MADAWA YA KULEVYA NA KUCHAFUKA KWA JINA LA TANZANIA, KUFICHA FEDHA USWISS nk.
 
Naona unajitahidi kutafutwe ka-Nafasi pale Lumumba. Sijui utapewa udairekta wa mtaapishaji walevi wa madaraka pale Lumumba. Amekuona, Amekusikia, Atakukumbuka kabla hajaondoka Magogoni 2015. Si unyamaze sasa???
 
Hata Mabutu alikuwa anapenda sana wanamuziki wakati huohuo akihamisha madini na raslimali za DRC kwenda Ubelgiji na Ufaransa. Ni vizuri pia umkumbuke kwenye scandle za za EPA, DEEP GREEN, MEREMETA, UFISADI ULIOKUBUHU, UDINI ULIOFIKIA KIWANGO CHA KUUAWA VIONGOZI WA DINI, KUTAPAKAA KWA MADAWA YA KULEVYA NA KUCHAFUKA KWA JINA LA TANZANIA, KUFICHA FEDHA USWISS nk.

Kuvunja kwa kiwango kikubwa mtandao wa majambazi waliokuwa wanatamba karibu kila leo kwa kuwavamia wahasibu wa makampuni na mashirika Mbali mbali wakiwa njiani kupeleka fedha bank! Aidha, untachable figures kama kina Alex Massawe and others nao amewasambaratisha!

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Pia ni utawala ambao viongozi wakubwa kwa mara ya kwanza walifikishwa kisutu eg mramba, katibu mkuu fedha, mahalu etc
 
Najua wengi mtakandia but katika kipindi cha JK barabara nyingi zimejengwa. Aidha kwa mara ya kwanza tutakua na kivuko cha kigamboni na mabasi ya mwendo kasi pia. Jiji litapendeza asana. MNYONGE MNYONGEN HAKI YAKE MPENI WAJAMENI
 
Mie nitamkumbuka kwa kkauli zake fyongo na udhaifu mkubwa aliouonyesha katika utendaji.

"Wanafunzi wanaopata mimba wakiwa shuleni, Serikali hairwauhusu kurudia shule mara baada ya kujifungua kwa sababu wakiwa shuleni watoto wao wakianza kulia majumbani matiti yao yataanza kutoa maziwa."

"Mimi nakwenda kule (Ulaya na Marekani) kuhemea. Nikirudi, narudi na vibaba." -
 
Miaka 8 madarakani bado nakosa la kuandika daah!!
kifupi sijaona jipya kutoka kwake..
Tunakumbuka mpaka waliokufa sio yeye tu..
 
Kudos kubwa ya JK ni "kukuza drmokrasia, vyama vingi kushamiri na uhuru wa kujieleza"!
 
Wanajamii, kila Rais akiondoka madarakani basi kuna mambo ambayo Daima yatatufanya tumkumbuke. Kwa upande wa JK mambo 3 nitakayomkumbuka ni 1. KUWA NA MOYO WA HURUMA NA UBINADAMU...Kila mara amekua mwepesi sana kutembelea waliofiwa na hata wanaoumwa mahospitalini. 2. KUZURU NCHI MBALIMBALI....Ziara za JK zimetuwezesha kupewa mikopo na mataifa mbali mbali ingawa wengine wanambezi lakini siku moja watajua uzuri wa ziara hizi. 3. KUOENDA WATU WA RIKA LA CHINI NA WENYE KIPATO KIDOGO..Wageni wa kwanza kuwaalika Ikulu walikua ni BONGO FLEVA akina Juma Nature nk. Amewaalika wengi Ikulu akina Ray C nk. JE WENGINE MNASEMAJE?
Mheshimiwa naona kuna Kuna kolabo na hao watu. Naona kama wana-shared interest vile!
 
1. KUWA NA MOYO WA HURUMA NA UBINADAMU...Kila mara amekua mwepesi sana kutembelea waliofiwa na hata wanaoumwa mahospitalini.

Huyu ni fedhuli na mnafiki hana huruma yoyote isipokuwa ni mnafiki asilia

1. Ameuwawa mwangosi na askari wake wakiongozwa na kamuhanda

a) Lini ameonesha kuumwa/kuumia au kukereka na uwaaji ule?

b) kama ana huruma mbona hajatoa neno lolote? (mnafiki kwasababu hujongea misiba ya maswahiba wake kama ilivyo kwa mchawiwi kumzika mchawi mwenzake nikawaida)

2. wameuwawa watu na kuumia kwa kupigwa bomu na askari wake kule Arusha-mkutano wa chadema

a) kikwete kafanya nini cha maana kuonesha kuumizwa na kitendo kile?

b) Ameongea nini cha msingi kudhihilisha anahuruma kwa raia wale wa tanzania wasio na hatia? kumbuka yeye ni Rais

3. Amegombana na Paul Kagame

-Kuonesha asivo na huruma hasira zake kaenda kumalizia kwa walalahoi ambao wengine ni vikongwe waliingia nchini tangu enzi za JK Nyerere. Huyu ni bedui na dikteta tu.

4. Madawa ya kulevya
-Angekuwa na huruma basi angetumia uwezo na akili yake yote akivishirikisha vyombo vya dola kuidhibiti biashara hii haramu ambayo inauwa na kuwaachia vilema vya akili watoto na raia wa taifa la Tanzania (Amekaa kimya-hana huruma zaidi ya kujichekesha kinafikia)

5. Elimu na Afya kwa walalahoi wa Tanzania

-Huyu ni fisadi na mfanyabiashara kama ilivyo kwa wezi wengine, vipi masikini na walalahoi wanateketea kwa kukosa huduma bora za matibabu ilihali Taifa la Tanzania lina maliasili na raslimaliwatu wakutosha?

-Elimu imekuwa ya matabaka maskini na shule za kata -bila walimu, maabara wala vitendeakazi lakini matajiri na shule za malipo na ubora unaotakikana ( cha ajabu siku ya mtihani wote wanapewa mtihani mmoja, huyu kikwete ana hurumagani?
 
Senbe Noma

2. KUZURU NCHI MBALIMBALI....Ziara za JK zimetuwezesha kupewa mikopo na mataifa mbali mbali ingawa wengine wanambezi lakini siku moja watajua uzuri wa ziara hizi.

Amezuru nchi nyingi sio kwa faida ya Taifa la Tanzania bali kwa faida yake yeye binafsi, mke nafamilia yake.

Unaweza kutauambia wakati anaingia madarakani deni la Taifa lilikuwa kiasigani na sasa nikiasigani na limekuwa kwa asilimia ngapi ndani ya utawala wake na kwanini?

Amechukuwa mikopo mingi isiyo na tija wala faida kwetu, kwasababu anakopa 100, anakuhudumia kwa 10 na 90 nakunywa juu kwa juu. Hili ilijithibisha kutoka ukuwaji wa deni la taifa exponentialy dhidi ya stright line grafu ya maendeleo yenye negative gradient (Deni kubwa kupita kisiasi lisilo akisi hayo maendelo unayoyasema-Wajinga ndiyo wale waliwawo
 
Last edited by a moderator:
Aaah kisutu drama tu ndugu,hebu nitajie anayeozea huko kama akina nguza,na mwanae
 
Mimi nitamkumbuka kwa haya
1. Rais asiyejua chanzo cha umaskini wa wananchi na nchi yake ni nini.
2. Rais anayeamini ujauzito kwa watoto wa kike ni viherehere vyao.
3. Rais aliyekuwa anapewa ulinzi wa majini (Sheikh Yahaya)
4. Rais aliyetoa dhahabu yetu kwa kubadilishana na vyandarua
5. Rais aliyetoa hoteli ya Kilimanjaro (Dar) kwa waarabu kwa kupewa......................

Sutiiiiiiiiii
 
Senbe Noma

3. KUOENDA WATU WA RIKA LA CHINI NA WENYE KIPATO KIDOGO..Wageni wa kwanza kuwaalika Ikulu walikua ni BONGO FLEVA akina Juma Nature nk. Amewaalika wengi Ikulu akina Ray C nk. JE WENGINE MNASEMAJE?

Ukitaka kula na mjinga, lazima upewe nafasi kwenye meza ya mkubwa kisha kupelekwa bustanini kupalilia magugu na akajisifu kwamba unapendwa badala ya kupelekwa shule ukapata elimu ya kujikimu ambao ndio upendo wa kweli.

1. Ikifika pasaka/chrismas/idd/maulid/ramadhani-utasikia Kikwete amefuturisha watoto yatima, amewaalika ikulu watoto wa mitaani kushehelekea sikukuu, hakika hapati thawabu yoyote maana anafanya kinafiki na msaada wake kwa watoto hao hauna maana bali anajiongezea dhambi- akiwashibisha leo kesho wakabaki na njaa yao amewasaidia nini.......!!!!!!?????

Kama Rais mwenye mamlaka ya mwisho ningemuona wa maana kama angeagiza kila mkowa kuwa na shule moja yenye uwezo wa kuhudumia watoto wasiojiweza 1500. Boarding school yenye kila kitu ili wototo yatima na wale wa mitaani wapate huduma bora za afya, maradhi na elimu ambayo ndiyo msingi bora wa maisha yao ya baadaye.

Huyu kikwete ni mnafiki mwanzo mwisho anayependa kusifiwa pasipostahili, anayependa kuvuna pasipokunda nk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom