Rais wangu kuna kipindi hunikosha sana!

Rais wangu kuna kipindi hunikosha sana!

Teh we kweli walewale......kivuko au story.....halafu mbna hujaandika kuwa alimgonga ray c akiwa teja? Mbna hujaandika idadi ya wake alowazalisha
 
Mie ntamkumbuka kwa kuuza gesi ya wamakonde kwa kumuokoa mtoto ..... Na madawa ya kulevya.
Shame upon he is good 4nothing
 
Najua wengi mtakandia but katika kipindi cha JK barabara nyingi zimejengwa. Aidha kwa mara ya kwanza tutakua na kivuko cha kigamboni na mabasi ya mwendo kasi pia. Jiji litapendeza asana. MNYONGE MNYONGEN HAKI YAKE MPENI WAJAMENI

Kwan amejenga barabara kwa fedha/hisani yake au ni fedha zetu wa Tz? kuwa muelewa wewe,tofautisha kati ya wajibu/majukumu ya kiongoz na hisani ya kiongozi. unachofanya hapa ni sawa na kumsifia baba yako kuwa "ananunua chakula kila siku"
 
Najua wengi mtakandia but katika kipindi cha JK barabara nyingi zimejengwa. Aidha kwa mara ya kwanza tutakua na kivuko cha kigamboni na mabasi ya mwendo kasi pia. Jiji litapendeza asana. MNYONGE MNYONGEN HAKI YAKE MPENI WAJAMENI

Kwan amejenga barabara kwa fedha/hisani yake au ni fedha zetu wa Tz au mikopo inayolipwa na kodi za wa Tz?. kwa fedha zinazokusanywa hapa Tz kila mwaka,kama zisingekuwa na matumizi ya hovyo(magari ya dhaman,poshoposho,tenda za hovyo,manunuzi ya serikali ya kila mwaka n.k) bas Tz ingekuwa na barabara bora sana kwa sasa. kuwa muelewa wewe,tofautisha kati ya wajibu/majukumu ya kiongoz na hisani ya kiongozi. unachofanya hapa ni sawa na kumsifia baba yako kuwa "ananunua chakula kila siku"
 
Najua wengi mtakandia but katika kipindi cha JK barabara nyingi zimejengwa. Aidha kwa mara ya kwanza tutakua na kivuko cha kigamboni na mabasi ya mwendo kasi pia. Jiji litapendeza asana. MNYONGE MNYONGEN HAKI YAKE MPENI WAJAMENI

Kwan amejenga barabara kwa fedha/hisani yake au ni fedha zetu wa Tz au mikopo inayolipwa na kodi za wa Tz?. kwa fedha zinazokusanywa hapa Tz kila mwaka,kama zisingekuwa na matumizi ya hovyo(magari ya dhaman,poshoposho,tenda za hovyo,manunuzi ya serikali ya kila mwaka n.k) bas Tz ingekuwa na barabara bora sana kwa sasa. kuwa muelewa wewe,tofautisha kati ya wajibu/majukumu ya kiongoz na hisani ya kiongozi. unachofanya hapa ni sawa na kumsifia baba yako kuwa "ananunua chakula kila siku".
 
Back
Top Bottom