Najitahidi kutokuanza kumsifia Rais Mwinyi...Ila akiendelea na hili la kurekebisha mifumo - hasa ELIMU - na kushirikisha wadau na wataalam, kweli Zanzibar itafika mbali. Afrika tuna advantage ya kuleap-frog, tusirudie makosa ya mataifa mengine bali tujifunze na kwa kuangalia uhalisia wa mazingira yetu na fursa tulizonazo. Ajitahidi kutokuendeshwa na matukio, aangalie "the bigger picture", awe strategic and adaptive... Mola azidi kumjalia hekima, usikivu na afya njema.
NB: Natanguliza samahani kwa kuchanganya lugha.