zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 223
Kuna taarifa toka vyombo vya habari vya kimataifa vinavyokariri upande wa upinzani wa utawala wa Yemen kuwa, rais Ali Abdalla Saleh ameuawa leo mchana huu!
kama kuna mwenye taarifa zaidi atujuze hapa jamvini.
Source: Reuters.
kama kuna mwenye taarifa zaidi atujuze hapa jamvini.
Source: Reuters.