Rais wa wanyonge, wanyonge wapi?

Naam naomba kuwakilisha hili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pengine ndio unyonge wetu anapouona hapo, kutukandamiza apendavyo na sisi kushindwa kumshughulikia. Ila sasa anatutia hasira hawezi kutufanyia yote hayo kisha anatamba kuwa sisi ni wanyonge.
Wakati umefika wa kumuonyesha kuwa sisi sio wanyonge kwa vitendo
 
Reactions: SDG
Kweli mkuu mimi sio mnyonge bali huwa namvumilia tu.
 
Yaani kwwny hizi comments za watu ndonimeamini watanzania bado sana ndomana tunaonewa kila kukicha,,tukidai haki zetu tunakandamizwa,,,yan mtu anatoa mtazamo wake sisi sio wanyonge bali wavumilivu na wastaarab lakin cha ajab mijinga humu ndani inamshambuliaa kama akina kanyinya upuuzi mtupuu

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Kwamba yanafurahi kuitwa wanyonge?
 
Kweli nyinyi sio wanyonge maana mafisadi wote wamekimbilia kwenu

Tatizo hamjakuelewa aliyeleta mada,maana yake anataka watanzania waitwe wavumilivu siyo wanyonge.

Watanzania wanauwezo wakutafuta chakula nanmahitaji yako ya kila siku hata kama ni kipofu hivyo hawataki watanzania tuitwe wanyonge.

Nampongeza hata Mimi sipendi.kuitwa mnyonge waniite mvumilivu,maana nauwezo wa kuvumilia upuuzi na upumbavu wote wa Watawala wa CCM
 


Kila kitu kinaitwa uchochezi, hata hii mada watakuja kuiita uchochezi.
 
Apo umenena mkuu,,tena ata kuitwa mvumilivu na hawa ccm haifai mana ndowanapoona udhaif wetu ili hali tunataka katba mpya lakin hawap taar kwa kujal maslahi yao

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…