Hebu angalia waafrika wanavyobaguliwa huko Ukraine na haohao unaowaombea baraka, wakati wewe wanakuona sokwe anayeongea.
Waafrika wanashushwa kwenye treni na mabasi pia kurudishwa kwenye uwanja wa vita kisa ni weusi yaani ubaguzi, ubaguzi, ubaguzi.
At least watanzania wanasaidiwa na russia kurudi tanzania kuliko hao wapuuzi wa kiukraine, F them.
Hao wayahudi na wazungu wote wanakuona kinyesi na ukipita youtube utakuta kabisa wanasema africans wabaki africa hatuwataki huku.
Na wengine wengine wanasema africans ni wavivu wanaokimbila nchi za watu kula mazuri sababu ya ujinga na uvivu (kitu ambacho ni kweli)
Kuna wengine wanasema ni bora wanyongwe kuliko kuolewa na muafrica.
Alafu wewe unaona ukiwapiga mabusu na kuwalamba miguu kwamba unabarikiwa, ujinga wa kiwango gani huu?
Kwa akili hizi ni sawa ukienda huko wakubague ili akili ikae sawa na uanze kujiamini mwenyewe.
Hebu acheni ujinga na Putin piga na uchakaze hao wabaguzi aka NAZIs masikini.
Mimi nina sheria moja tu kwamba F white people, all of them.
Pata exposure utoke kwenye hilo lindi la ujinga.
Najua wajinga wapo wengi lakini how the hell can you be this stupid?