Rais wa Ukraine kumbe ni myahudi?

Rais wa Ukraine kumbe ni myahudi?

Muanzilishi wa Whatsapp Jan Koum pia ni myahudi wa Ukraine aliyehamia Marekani akiwa mdogo.

Ukija huku Google unakutana na myahudi mwengine Sergei Brim aliyehamia Marekani kutoka Urusi.

Ukija tena Facebook myahudi mwengine Mark Zugerberg.

Ukija Uber ni myahudi mwengine tena.

Ukiha Coca cola na Pepsi ni wayahudi waanzilishi.

Yani mibaraka imesambaaa na kuzagaa kila kona.

If you bless them you will be blessed if you curse them you will be cursed
Wewe kerubi mbona una kasi sana umeshindwa kutukuza babu zako unatukuza babu wa wengine.
 
Ukiangalia post za wengi humu, unamuonea huruma Mama Samia kwa kuwa na wapuuzi wengi hivi ambao vichwa vyao ni Kama makopo, ni Bora wauwawe wapuuzi wengi ,tubaki na werevu wachache
 
Inapendeza sana kutambua na kujua Rais Hodari (Brave heart) ana damu ya uteule inayosambaa kwenye Mishipa yake.

Ndo maana ana vinasaba kama vya mfalme Daudi.

Baada ya kutambua Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy Rais wa Ukraine ni myahudi nimezidisha kumuunga mkono pamoja na taifa lake mibaraka isinipite kizembe hivihivi .

Mungu wa kweli ailinde na kuibariki Ukraine.

Janjaweed Da'Vinci
Ulikuwa hujuwi? Habari ndio hiyo... Ndio maana unaona dunia ipo ktk kiza kinene.. Israel wamewakalia kooni UK, German na USA akijuwa wana deni lakumlipa.. huyo Rais wa Ukrain hujiulizi amepata wapi ujasiri? Nakwanini yupo tayari kufa kwa ajili ya Ukrain? Najana amewaambia Ukrain ikianguka wajiandae Eu kuanguka na dunia? Hujiulizi anapata wapi ujasiri?
 
Yaani waafrica tumeshikwa masikio na akili zetu ukiangalia ukweli wale waizilael ambao wanafaamika kama wayaudi a.k. a Wana wa izlael wote ni watu kutoka Russia walikuja miaka hiyo wakiwa ni wafanyabiashara wakakutana na dili ya Bible . Kwa maana hiyo ili kuweza kujimilikisha pale ndio wakajiita wana wa Islael kitu ambacho siyo ukweli.
 
Chanzo cha habari cha hao wabaguzi wa rangi nyeusi tafadhali [emoji87]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Wayahudi walichowafanya mpaka mnawaabudu hivi sijawahi kuelewa.
Hii dunia ina ajabu kweli
Mwenye nguvu mpishe..hakuna anayewaabudu ili tuna appreciate makubwa waliyofanya duniani.

Wewe umefanya kipi zaidi ya kupiga miayo tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaani waafrica tumeshikwa masikio na akili zetu ukiangalia ukweli wale waizilael ambao wanafaamika kama wayaudi a.k. a Wana wa izlael wote ni watu kutoka Russia walikuja miaka hiyo wakiwa ni wafanyabiashara wakakutana na dili ya Bible . Kwa maana hiyo ili kuweza kujimilikisha pale ndio wakajiita wana wa Islael kitu ambacho siyo ukweli.

Duh.
 
Back
Top Bottom