Rais wa Uganda, Yoweri Museveni awasili Ikulu, Dar kwa ziara ya kikazi

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni awasili Ikulu, Dar kwa ziara ya kikazi

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu ambapo wanakutana kujadili mambo mbalimbali ya kiuchumi na maendeleo baina ya Tanzania na Uganda.

1770458370467.png

Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja ambapo marais hao wanatarajiwa kujadili mambo mbalimbali ya kiuchumi na maendeleo baina ya Tanzania na Uganda.

1770458932829.png

Yoweri Museveni akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
 
Hizo picha za Museveni na marais wa Tanzania ni nyingi kweli, lakini matokeo ni duni.
 
Kiboko ya Mabeberu nimemskia akitema nondo
 
Back
Top Bottom