Rais wa TLS, Fatma Karume amemtembelea Mh. Tundu Lissu hospitalini Ubelgiji kumjulia hali

Kumjulia hali mgonjwa imekuwa noma ????? Lumumba yote imepata kichaa !!!!!!wanaweweseka mchana !!!! mara waulize mshahara Wake , mara wengine waje na hakuvaa kiramadhani kama vile wao ni Maustadhi, mara wengine hakumpelekea salamu ,

CCM NI GONJWA HATARI KULIKO EBOLA

NI HERI KUKUTANA NA WACHAWI WANAORUKA NA UNGO KULIKO KUKUTANA NA WACHAWI WANAOISHI LUMUMBA
 
Ni zaidi ya wachawi mkuu. Ni mumiani wanyonya damu
 
Hivi Dr Slaa ameshindwa kabisa kumtembelea Lissu si wote wako huko ulaya!! Ama wanauhasama kama wa wakinamama? Udugu ubaki hatakama kisiasa walipishana wakanyang'anyana matonge
 
Back
Top Bottom