Rais wa TLS, Fatma Karume amemtembelea Mh. Tundu Lissu hospitalini Ubelgiji kumjulia hali

Sasa HAPO wasukuma wanaingieje tena!!??
Mtu mmoja akikuudhi basi kabila zima limekuudhi. Si haki hata kidogo. By the way, hata huna uhakika kama ni msukuma.
Nikitazama jinsi wanvyofikiri na wanavyochukulia wapinzani naweza kusema ni wote. Japo sio kweli kwamba ni wote lakini hawa wengi wanawakilisha kabila hilo. Kuanzia JPM, Bashite et al
 
hata shetani ambaye ndiye boss wenu mkuu kuna wakati huwa ana utu kidogo lakin naona nyie mawakala wake mmezidisha ukatili hadi mmemzidi boss wenu ila uzuri mauti yana kila nafsi hata ile iliyo lindwa na mitutu kila upande wa dunia na woote kwa pamoja tunalazwa ardhin pamoja na tofauti zetu.
Hawa hawana lolote.
Tunapigika nao kitaa. Wanajitoa tu ufahamu bure bure
 
Nikitazama jinsi wanvyofikiri na wanavyochukulia wapinzani naweza kusema ni wote. Japo sio kweli kwamba ni wote lakini hawa wengi wanawakilisha kabila hilo. Kuanzia JPM, Bashite et al

No no no brother. If that is your line of argument let me rest my issue.
 
Back
Top Bottom