Rais wa Tanzania kwenye uzinduzi wa Airtel

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,465
2,000
Wadau naomba kuuliza hivi kama Raisi wa nchi anahudhuria uzinduzi wa ubadilishwaji/uhuzwaji wa kampuni ya simu, Je ni zinduzi ngapi kama hizi atahuzuria kwa kipindi chote atakachokuwa madarakani?

Hofu yangu ni kuwa NIKIASI GANI ZAIN/AIRTEL WAMECHANGIA KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI CCM?

My take:
Kila kitu kinabei yake hapa TANZANIA.

Kikwete_Airtel.jpg

President Jakaya Mrisho Kikwete together Airtel Tanzania Managing Director Sam Elangalloor
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,831
2,000
Wadau naomba kuuliza hivi kama Raisi wa nchi anahudhuria uzinduzi wa ubadilishwaji/uhuzwaji wa kampuni ya simu, Je ni zinduzi ngapi kama hizi atahuzuria kwa kipindi chote atakachokuwa madarakani?
Hofu yangu ni kuwa NIKIASI GANI ZAIN/AIRTEL WAMECHANGIA KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI CCM?

My take:
Kila kitu kinabei yake hapa TANZANIA.

Analipa fadhila.

Zain/Airtel waligharamia mabango ya Chagua Fisadi wakati wa kampeni
 
Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
0
Nawasikitikieni sana nyie hapa!!! Zaidi ya nusu ya wawekezaji wanaotajwa kuwekeza kwenye zilizokua mashirika ya umma yaliuzwa bei chee hapo nyuma si wa nchi za nje wala nini.

Ni wa-Tanzania MAFISADI ambao ndio walionyakua mali za Watanzania kwa kujificha nyuma ya majina ya mikampuni ya njee. Nakuambia siku Wa-Tanzania waliowengi watakapoelewa hili nchi haitokalika.

Hiyo kambuni Tangu Celtel, iliomega mali zetu pale Kijitonyama bila kulipa hata senti, hadi leo hii 'AirTel' na kesho sijui itakua kitu gani, yote ni kuendelea kututoroka kabisa na kilicho halali yetu. Ole Naiko pale TIC anajua sana picha nzima.
Kawekwa na Lowassa pamoja na Rostam Aziz kwa ajili hio.
 
Nov 23, 2010
50

Wewe umelenga parepare kwenye arama nyeusi ya target. Pamoja nakudai mabadiliko ya katiba. Kipengele muhimu kabisa tutataka tuwachunguze na kuwajua wenye hisa kwenye makampuni haya na hasa yale yalioyukuwa mali ya walalahoi wanji hii. Halfa baadaye mtuambie sisi walalahoi kwanini hakutupa elimu na afya bure. Hapo wale watakao bahatika kuishi ndio watakoa kuwa wakizigawana mali zenu mnazozichuma kipumbavu kama ilivyokuwa kwa mabutu na wengine kama nyie.
 
bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
4,925
2,000
nimesha choka na hilo neno fisadi . miaka inazidi kusonga tuuuu, tuongeeni namna ya kuanzisha miradi watu tupate pesa .
 
mams

JF-Expert Member
Jul 19, 2009
615
195
Wadau naomba kuuliza hivi kama Raisi wa nchi anahudhuria uzinduzi wa ubadilishwaji/uhuzwaji wa kampuni ya simu, Je ni zinduzi ngapi kama hizi atahuzuria kwa kipindi chote atakachokuwa madarakani?
Hofu yangu ni kuwa NIKIASI GANI ZAIN/AIRTEL WAMECHANGIA KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI CCM?

My take:
Kila kitu kinabei yake hapa TANZANIA.

Wameanza na Airtel baadye wataendelea na Landtel na kumalizia na Undergroundtel. Afadhali waendelee kutoa hudma nzuri pamoja na kulipa kodi ya serikali
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,966
2,000
Hata mimi nilishangaa kuona Mkwere na wadau kibao wafanyabiashara wa Tanzania walijitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa ile kampuni ya Wahindi. Kuna kiti sio bure.
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,465
2,000
Hata mimi nilishangaa kuona Mkwere na wadau kibao wafanyabiashara wa Tanzania walijitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa ile kampuni ya Wahindi. Kuna kiti sio bure.

sina tatizo na hao walio jitokeza kama wao tatizo langu ni KIKWETE kama RAISI. kwa nini? Si angenda kama MWENYEKITI WA CHAMA KUTOA SHUKRAN KWA MCHANGIAJI WA KAMPENI?
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,966
2,000
sina tatizo na hao walio jitokeza kama wao tatizo langu ni KIKWETE kama RAISI. kwa nini? Si angenda kama MWENYEKITI WA CHAMA KUTOA SHUKRAN KWA MCHANGIAJI WA KAMPENI?

Labda alienda ili kuwa'encourage wawekezaji wengine wajitokeze.
Lakini sio ajabu, mbona mbunge wa kinondoni Idd Azan alikuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya kucheza kiduku!!
 
Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,440
2,000
kwani mmesahahu kuwa huyo ni mzee wa kuuza sura, alipokwenda marekani aliomba kupiga picha na boizi-tu-meni, halafr pale yukei akapewa jezi ya timu gani sijui ilikuwa imeandikwa jina lake, halafu akiulizwa kwa nini Tanzania ni maskini anasema hajui huku akichekacheka
 
warea

JF-Expert Member
Jan 22, 2010
244
0
Wakati watanzania tunahamu kusikia baraza la mawaziri, kiongozi aliyeingia madarakani tayari ameanza kazi kwa kubariki kampuni ambayo imekuwa na mafanikio makubwa lakini ikiwa imepata mafanikio hayo kupitia mgongo wa nguvu za wananchi - TTCL.
Ninachoshangaa ni kuwa wakati kipao mbele kingekuwa kushughulikia matatizo ya wananchi kwa kuwaweka watendaji wa serikali, inaonekana shughuli za airtel zimekuwa na kipaombele hata kwenda kuzindua biashara hiyo ili hali anaosema wamemchagua wanasubiri huduma yake.
 
ktman

Member
Nov 4, 2010
37
0
Hivi kutoka Rais anajua kwa nini hawa watu wanabadilisha jina kila mara kutoka Celtel , Zain na sasa Airtel na itakapofika 2015 watajiita tena Fastel. Kuna biashara gani katika hili ?
 
Nov 4, 2010
83
0
ni zain africa nzima imenunuliwa sio tanzania tu, shareholders ndio wanachenji na jina la kampuni, sio kampuni mpya, hence wanalipa kodi!
acheni kumfanya Jk mbumbumbu! thanks
 
Mkwele

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
206
195
Kubadilisha jina kwa wawekezaji ni wizi tu huo ambao kila siku wapinzani wanapiga makelele.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
2015 itabadilishwa jina ataizindua, itakuwa labda itaitwa Mungitel
 
Kiherehere

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,808
2,000
sasa si bora hivi kwa kuhuza sura tu kuliko zile za kukwepa kodi.
wewe nae kilaza kweli, nani kakuambia kuwa jamaa hawakwepi kodi.? kwa kubadilisha tu hilo jina maana ni miliki mpya na jina jipya ambalo litapewwa TIC certificate mpya ambayo ina msamaha mipya ya kodi.
Hii nchi bwana!!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom