MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, John Magufuli amemteua Gerald Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo.
Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Machi 05, 2020 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa inasema Kusaya anachukua nafasi ya Mathew Mtigumwa ambaye atapangiwa kazi nyingine.
“Kusaya anachukua nafasi ya Mtigumwe ambaye atapangiwa kazi nyingine katika Ofisi ya Waziri Mkuu," imesema sehemu ya taarifa hiyo.
Kabla ya uteuzi huo, Kasuya alikuwa Mwenyekiti wa timu Maalum iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuchunguza masuala mbalimbali katika zao la mkonge mkoani Tanga.
Taarifa hiyo imesema uteuzi huo umeanza leo Alhamisi
Zaidi, soma: RC wa Tanga aagiza Polisi na TAKUKURU wamkamate Mwenyekiti wa TPSF Mzee Shamte kwa ubadhirifu na dhuluma ya Sh. bilioni 54
Video ya ''madudu'' ya mkonge Tanga