Rais wa Tanzania, John Magufuli amemteua Gerald Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo.

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,172
23,975
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, John Magufuli amemteua Gerald Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo.

Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Machi 05, 2020 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa inasema Kusaya anachukua nafasi ya Mathew Mtigumwa ambaye atapangiwa kazi nyingine.

“Kusaya anachukua nafasi ya Mtigumwe ambaye atapangiwa kazi nyingine katika Ofisi ya Waziri Mkuu," imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Kabla ya uteuzi huo, Kasuya alikuwa Mwenyekiti wa timu Maalum iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuchunguza masuala mbalimbali katika zao la mkonge mkoani Tanga.

Taarifa hiyo imesema uteuzi huo umeanza leo Alhamisi

Zaidi, soma: RC wa Tanga aagiza Polisi na TAKUKURU wamkamate Mwenyekiti wa TPSF Mzee Shamte kwa ubadhirifu na dhuluma ya Sh. bilioni 54

Video ya ''madudu'' ya mkonge Tanga
 
Naunga mkono hoja
Teuzi za aina hii ni teuzi zenye maslahi sana kwa taifa, uteuzi is based on performance, rais kasoma ripoti ya mkonge, kaona uwezo hapa hapo kateua mtu na kumtumbua kistaarabu aliyekuwepo ambaye hakuyaona hayo madudu ya mkonge.

Hawa jamaa wa vetting wangekuwa wanafanya vetting based on performance tusingekuwa na watendaji non performing wengi kiasi hiki.

P
 
The Peter Principle?
 
based on performance
Wewe outlook of issues is below imaginable standard as a "renowned" reporter (apology, I can not find a better term to describe your opinion) kabisa, uteuzi unaupimwa kwa incident moja ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya kuchunguza kuuziana nyumba za serikali! After all , suspects hawakuitwa kujitetea, natural justice principle Audi alteram partem was violated halafu unasema ndio uteuzi wa haki, wenye sifa kem kem! Wanakwenda mahakamani kutafuta kusikilizwa before being condemned to jail!
 
Nimejikuta tu napata swali la kuuliza hapa, hivi ripoti ya tume inaweza kutumika kama ushahidi mahakamani ?
 
Naunga mkono hoja
Teuzi za aina hii ni teuzi zenye maslahi sana kwa taifa, uteuzi is based on performance, rais kasoma ripoti ya mkonge, kaona uwezo hapa hapo kateua mtu na kumtumbua kistaarabu aliyekuwepo ambaye hakuyaona hayo madudu ya mkonge.

Hawa jamaa wa vetting wangekuwa wanafanya vetting based on performance tusingekuwa na watendaji non performing wengi kiasi hiki.

P
Naungana nawe but haki ya kisheria ipo wapi kwa watuhumiwa?je wamepelekwa mahakamani kujitetea maana tuelewe kuwa story ina two side,suala hili la mkonge halijaanza jana na kama kawaida yetu ya sisi watanzania tunausahaulifu mno,kumbuka ile scandal ya CHAVDA ,mashamba ya mkonge yalikuwa moja ya sehemu kubwa ya tuhuma zile,nini kilitokea nothing except kwa wanasiasa kutumia ile issue kama mpira wao wa kisiasa wakati nchi imeshaumia mno na no recourse kwa nchi.
 
Wewe outlook of issues is below imaginable standard as a "renowned" reporter (apology, I can not find a better term to describe your opinion) kabisa, uteuzi unaupimwa kwa incident moja ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya kuchunguza kuuziana nyumba za serikali! After all , suspects hawakuitwa kujitetea, natural justice principle Audi alteram partem was violated halafu unasema ndio uteuzi wa haki, wenye sifa kem kem! Wanakwenda mahakamani kutafuta kusikilizwa before being condemned to jail!
Actions speaks louder than words, kwa kumsikiliza tuu huyo jamaa, for just that incident, amethibisha he is a doer, ni mtu wa action.

Amewaita kwa summons wanunuzi wote wa hizo nyumba waonyeshe any proof of payment, wenye proof wameachwa, wasio na proof wamenyanganywa na zimerudishwa serikalini.

Angekuwa ni mwingine, angeanzisha mchakato, kwa kufanya uchunguzi, warsha, semina, kongamano, kisha mchakato wa kisheria, kikanuni na kiutaratibu ufuatwe.

Sikubaliana na hiyo hoja, KM wa wizara anawasaidizi wengi ambao ndo wataalam waliotakiwa kumpa taarifa, kumpa kazi mtu ambaye ndiye mchunguzi wa jambo fulani ni kumtega tu,
 
Actions speaks louder than words, kwa kumsikiliza tuu huyo jamaa, for just that incident, amethibisha he is a doer, ni mtu wa action.

Amewaita kwa summons wanunuzi wote wa hizo nyumba waonyeshe any proof of payment, wenye proof wameachwa, wasio na proof wamenyanganywa na zimerudishwa serikalini.

Angekuwa ni mwingine, angeanzisha mchakato, kwa kufanya uchunguzi, warsha, semina, kongamano, kisha mchakato wa kisheria, kikanuni na kiutaratibu ufuatwe.

P
Paskali one of the victims ni friend of mine. Amesema hajaitwa kutoa utetezi wake. kulikuwa ni vitisho, mara money laundering inakuja, uhujumi uchumi etc! ... they have to concede kuepusha ya kabebdera and the rest of the same fate... nipo naongea na hawa watu,
 
Naungana nawe but haki ya kisheria ipo wapi kwa watuhumiwa?je wamepelekwa mahakamani kujitetea maana tuelewe kuwa story ina two side,suala hili la mkonge halijaanza jana na kama kawaida yetu ya sisi watanzania tunausahaulifu mno,kumbuka ile scandal ya CHAVDA ,mashamba ya mkonge yalikuwa moja ya sehemu kubwa ya tuhuma zile,nini kilitokea nothing except kwa wanasiasa kutumia ile issue kama mpira wao wa kisiasa wakati nchi imeshaumia mno na no recourse kwa nchi.
Mkuu Nkanini, kuna vitu vinahitaji just a political will na administrative measures to resolve, na vingine vinahitaji ufunguzi wa kisheria. Mfano uuzaji wa nyumba za ndani ya mashamba, zile nyumba ni za farm manager na ni part and parcel of the farm.

Kisheria huwezi kuuza ardhi bila maandishi, na huwezi kumiliki kipande chochote cha ardhi ya serikali bila kupimwa bila hati, mauzo yoyote ya ardhi kwa kauli, bila kupimwa, bila hati ni null and void ab Initial!.

Kisheria kitu kikiwa ni void ab Initial kinahesabika hakijawahi kuwepo, hivyo kina retains ile original status yake. Hivyo alichofanya ni restoration of their original status, baada ya hapo, mwenye malalamiko yoyote yuko free to seek legal redress kurejeshewa fedha zake alizonunulia.

P
 
Paskali one of the victims ni friend of mine. Amesema hajaitwa kutoa utetezi wake. kulikuwa ni vitisho, mara money laundering inakuja, uhujumi uchumi etc! ... they have to concede kuepusha ya kabebdera and the rest of the same fate... nipo naongea na hawa watu,
Pole kwa yaliyokukuta. Wangapi mmenyang'anywa nyumba?
 
Paskali one of the victims ni friend of mine. Amesema hajaitwa kutoa utetezi wake. kulikuwa ni vitisho, mara money laundering inakuja, uhujumi uchumi etc! ... they have to concede kuepusha ya kabebdera and the rest of the same fate... nipo naongea na hawa watu,
Hizo nyumba zote, zimerejeshwa kwa wamiliki kusaini surrender document.
P
 
Naunga mkono hoja
Teuzi za aina hii ni teuzi zenye maslahi sana kwa taifa, uteuzi is based on performance, rais kasoma ripoti ya mkonge, kaona uwezo hapa hapo kateua mtu na kumtumbua kistaarabu aliyekuwepo ambaye hakuyaona hayo madudu ya mkonge.

Hawa jamaa wa vetting wangekuwa wanafanya vetting based on performance tusingekuwa na watendaji non performing wengi kiasi hiki.

P
Pascal, wale wajumbe wengine wa kamati hiyo wameteuliwa pia; naona kama tunaua team work
 
Wewe outlook of issues is below imaginable standard as a "renowned" reporter (apology, I can not find a better term to describe your opinion) kabisa, uteuzi unaupimwa kwa incident moja ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya kuchunguza kuuziana nyumba za serikali! After all , suspects hawakuitwa kujitetea, natural justice principle Audi alteram partem was violated halafu unasema ndio uteuzi wa haki, wenye sifa kem kem! Wanakwenda mahakamani kutafuta kusikilizwa before being condemned to jail!
Umecharaza kingereza kizuri sana, tatizo ni kwamba umeandika utumbo, samahani sana lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom