Haya Nabii uchwara. Tumekusikia.Sio Kujifanya namjua, ila namjua kweli, na kumjua Mungu Kwa ni wajibu wangu..
Wewe ukisema unamjua baba yako, tukubishie. Acha hoja za kishetani na zilizopitwa na wakati.
mkuu nchi inachukuliwa kwa kura za watanzania lakini sio kwa ziara za njeHapo vip!!
Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.
Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.
Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.
Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.