Rais wa Tanzania 2020 ni Tundu Lissu


WILE

WILE

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
3,564
Points
2,000
WILE

WILE

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
3,564 2,000
Sio Kujifanya namjua, ila namjua kweli, na kumjua Mungu Kwa ni wajibu wangu..

Wewe ukisema unamjua baba yako, tukubishie. Acha hoja za kishetani na zilizopitwa na wakati.
Haya Nabii uchwara. Tumekusikia.
 
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Messages
2,454
Points
2,000
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2016
2,454 2,000
Tatizo wajinga mnajiamini zaid ya werevu
 
Uta Uta

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Messages
2,789
Points
2,000
Uta Uta

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2016
2,789 2,000
Samahani mi mgeni hapa mjini kwa hiyo Membe atakuwa keshamaliza mda wake kipindi hicho? maana mliimba sana mnamtaka Membe
 
Masenu K Msuya

Masenu K Msuya

Verified Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
1,457
Points
2,000
Masenu K Msuya

Masenu K Msuya

Verified Member
Joined Jun 20, 2017
1,457 2,000
Hapo vip!!

Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.

Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.

Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.

Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
mkuu nchi inachukuliwa kwa kura za watanzania lakini sio kwa ziara za nje
 
H

Hashim idd nkirings

New Member
Joined
Jan 22, 2019
Messages
2
Points
20
H

Hashim idd nkirings

New Member
Joined Jan 22, 2019
2 20
Kaka mkumbushe lisa kuwa raisi sio kama raisi wa chuo, nawapiga kura ni sisi watazania asijitoe ufahamu na kutuchafulia nnchi yetu arudi home asubr 2020ataukumbuka ubunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,284,194
Members 493,978
Posts 30,816,820
Top