Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Unapenda sana manyanyaso ..sijui kama nawe ulikaa tumboni mwa mama yako miezi9!Kwani kulikuwa na haja gani ya ku post .Huyo aliyepiga picha akamatwe
Unapenda sana manyanyaso ..sijui kama nawe ulikaa tumboni mwa mama yako miezi9!Kwani kulikuwa na haja gani ya ku post .Huyo aliyepiga picha akamatwe
Atatuletea balaa la al shabab wamuondoe haraka wakamwache mpakani namanga avuke
Shabab wakiiona hii undhani wataichukuliajen TZ? Tusiingie mkenge kama Kenya.nini
Hao wavaa sandals hakuna kituShabab wakiiona hii undhani wataichukuliajen TZ? Tusiingie mkenge kama Kenya.
Kwahiyo Kangi ndio anakaimu?!
Sasa hivi Kuna tatizo Yaani huko airport hakuna watu watunza viapo vya kutunza Siri .Hilli halikutakiwa kuankwa wazi kabisa.Something is wrong somewhereShabab wakiiona hii undhani wataichukuliajen TZ? Tusiingie mkenge kama Kenya.
Yaani very sad mtu wa watu anajua katua mahali safe na Siri watu wanamuanika hivi.Hajatendewa haki .This is unfair.Watu wa mambo ya nje tusaidieni Ni ethics gani hizi? Sio fairTetesi yenye picha halisi tena akiwa na mwenyeji?
Ngoja wanaomtafuta wamfuate alipo ndio itakua habari kamili.
Tetesi yenye picha halisi tena akiwa na mwenyeji?
Ngoja wanaomtafuta wamfuate alipo ndio itakua habari kamili.
Acha usnitch weweModerators mambo mengine SI lazima tuyaweke ili kuchangia Amani somalia .Ondoeni huu Uzi.Yabakie huko huko sirini
wewe sijui unaumwa niniModerators mambo mengine SI lazima tuyaweke ili kuchangia Amani somalia .Ondoeni huu Uzi.Yabakie huko huko sirini
lakini hapa tayari yupo mikono salamaTunawajibika kulinda usalama wa mtu mwingine ujue chukulia majambazi wanavamia nyumbani kwako unakimbilia makaburini kujificha halafu unaona jamiii forums wamepost muda huo hup kuwa uko makaburini umejificha wakati hata majambazi yanasoma jamii forums huko ulikojificha si utaanza kujiharishia na kkumlaani aliyepost?
Kaja kujificha mbele ya cameraYaani very sad mtu wa watu anajua katua mahali safe na Siri watu wanamuanika hivi.Hajatendewa haki .This is unfair.Watu wa mambo ya nje tusaidieni Ni ethics gani hizi? Sio fair
Labda Ni kaimiu waziri wa mambo ya nchi za njeKwahiyo Kangi ndio anakaimu?!
Kama unajua hapa in mahali safe kwa nn unataka pawe na usiri wa namna hyo? Ni haki yetu pia kujuaYaani very sad mtu wa watu anajua katua mahali safe na Siri watu wanamuanika hivi.Hajatendewa haki .This is unfair.Watu wa mambo ya nje tusaidieni Ni ethics gani hizi? Sio fair