Tetesi: Rais wa Somalia atua kwa dharura nchini, akwepa kutunguliwa

Status
Not open for further replies.
yuko sehemu salama, kwani nkurunzinza alivyopinduliwa nani alimrudisha bunjumbura? wala hakuna siri hapo.
 
Kwahiyo Kangi ndio anakaimu?!

Kangi ni waziri wa polisi, portfolio yake ni kushughulika na mambo ya dharura dharura na kuzunguka zunguka kwenye crime scenes, viwanja vya ndege, vituo vya polisi n.k.

Waziri Mkuu na wengine hawawezi kubwaga mafaili yao chini kukimbia kumlaki mtu wa Somalia katua kwa dharura, they have schedules and deadlines to observe. Ashukuru tumempa clearance kutua.
 
Shabab wakiiona hii undhani wataichukuliajen TZ? Tusiingie mkenge kama Kenya.
Sasa hivi Kuna tatizo Yaani huko airport hakuna watu watunza viapo vya kutunza Siri .Hilli halikutakiwa kuankwa wazi kabisa.Something is wrong somewhere
 
Tetesi yenye picha halisi tena akiwa na mwenyeji?

Ngoja wanaomtafuta wamfuate alipo ndio itakua habari kamili.
 
Tetesi yenye picha halisi tena akiwa na mwenyeji?

Ngoja wanaomtafuta wamfuate alipo ndio itakua habari kamili.
Yaani very sad mtu wa watu anajua katua mahali safe na Siri watu wanamuanika hivi.Hajatendewa haki .This is unfair.Watu wa mambo ya nje tusaidieni Ni ethics gani hizi? Sio fair
 
Farmajo mwenyewe alisema kabla hajaondoka S.A kua anarudi Mogadishu via Dar es salaam. Ni utaratibu ambao wamejiwekea hivi karibuni kua baada ya waziri wao kuzuiliwa Nairobi hakuna mikutano yao au ya mashirika yanayofanya kazi na Mogadishu itakayofanyika tena pale na hawatatumia Nairobi tena kama transit wakati wa safari zao.
 
Tunawajibika kulinda usalama wa mtu mwingine ujue chukulia majambazi wanavamia nyumbani kwako unakimbilia makaburini kujificha halafu unaona jamiii forums wamepost muda huo hup kuwa uko makaburini umejificha wakati hata majambazi yanasoma jamii forums huko ulikojificha si utaanza kujiharishia na kkumlaani aliyepost?
lakini hapa tayari yupo mikono salama
 
Yaani very sad mtu wa watu anajua katua mahali safe na Siri watu wanamuanika hivi.Hajatendewa haki .This is unfair.Watu wa mambo ya nje tusaidieni Ni ethics gani hizi? Sio fair
Kama unajua hapa in mahali safe kwa nn unataka pawe na usiri wa namna hyo? Ni haki yetu pia kujua
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom