Tetesi: Rais wa Somalia atua kwa dharura nchini, akwepa kutunguliwa

Status
Not open for further replies.
Hahahahahaaaaaaaaaa!Anakujaje nchini wakati Rais wetu yuko nje ya nchi???Alitaka kutunguliwa nini?
 
Nasikia Choo cha katika Ndege yake Kilijaa ' Nnya ' na Yeye alikuwa amebanwa na Haja Kubwa hivyo akaomba Kwanza Kutua kwa Dharura ili awahi VIP kwenda Kujisaidia ( Kunya ) ila akaambiwa hawezi Kupewa Ufunguo wa Chooni mpaka Kwanza amsifu na kumtukuza Baba Yohana wa Geita na kwakuwa ' Nnya ' yake ilikuwa Mlangoni kabisa inagonga na kurudi ikamlazimu akubaliane na ' Sharti ' japo Ndege ilipoondoka na Kupaa kabisa Angani nasikia alijilaumu mno.
hayo yote umesikia mkuu, lakin wenzio wameandika hayo hapo so sisi za kuambiwa tutachanganya na zetu
 
Praise team at work!!!!
Kumbe msingi wa habari hii ni"sifa"???Aisee,akikosolewa muwe mnaandika pia!!!
Wala usihangaike praise team ni bashite anatumia ID zake zote haamini kuwa Magufuli hata book 7 hawamtaki bora wale vumbi kuliko kubakia wanapraise mtu ambaye hana jipya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom